Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Hivi kuthibisha kauli na hela za ruzuku zinaenda wapi vinahusiana hivi kweli?

Sample uliziiba lakini viongozi wakakataa kuzipeleka SA. Sasa uliziiba au ulichukua, unaibaje kitu alafu unashea na viongozi.

Tautology inagoma kabisa kubalansi asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwa akili nyembamba uliyonayo unawezaje kumuamini Mamluki Mollel ?
Kama lissu anatoka mishipa ya shingo kwa kuiaminisha dunia kuwa rais hajawai kutoa tamko lolote kufuatia ye kushambuliwa wala kiongozi yoyote wa serikali kumtembelea, kwa nini tusimuamini mollel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni kuhusu 'uchunguzi'! Mimi niliposoma kichwa cha uzi nilifikiri anasema alishirikishwa katika mpango wa kumshambulia kwa risasi ikiwa ni pamoja na kuondoa walinzi katika makaazi ya wakubwa na kung'oa cctv!
 
Abarikiwe mheshimiwa mollel kwa kuwaumbua hawa Chadema
Hahahahahahahaaaaa,huo upuuzi tushauzoea!!!!!Halafu kwanini anaongelea bungeni ambapo ana kinga?Aitishe press nje ta bunge aseme hayo tumjambishe!
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Ngoja tumuulize swali dogo tu huyo mbunge Mollel, mbona kila linapotolewa ombi la kuwaleta wachunguzi wa nje wa kimataifa waje walichunguze suala hili la kipigwa risasi Tundu Lissu, ni serikali hiyo hiyo inalitolea nje??
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Kuna wakati sura ya mtu huakisi upungufu alio nao. Mtazameni vizuri.

Taifa letu linadharaulika inapoonekana hata mwendawazimu kwa Tanzania anaweza kutunukiwa hadhi ya Dr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntajitahidi kufunika pembe la ng'ombe Lakin hafichiki
Mbona mnaruka ruka tulieni mliyataka wenyewe
Anawaanika Kwel Kwel hadi naona aibu mimi huku Germany had tunaona aibu kutoka street

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe unaishi Ujerumani gani,wajerumani wangapi wanafahamu Lissu au unadhani Ujerumani ni sawa na Arusha
 
Huyu dawa yake ni kwenda mahakamani

Sent using Sukhoi Su-57
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.

View attachment 1017124
Zile nguo za kijani sijui waliweka vitu gani maana mwenye password ya akili alikuwa na password yake.Tumbo ndo ugeuka akili.Wanajali tumbo kuliko hali halisi
 
Back
Top Bottom