Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Ehee ! Polisi waanzie uchunguzi hapo. Nitashangaa kama ataitwa kuhojiwa kwani tayari ameonyesha ana jambo

Kwa maneno haya, Mbunge Mollel amechukua ''nafasi' ya dereva anayetakiwa apandikiziwe maneno kama Abdul Nondo au yule dalali wa Mo aliyezuiwa kujibu maswali. Wote wawili, Nondo na dalali walikuwa mbele ya waandishi

Busara isipotumika ujenzi wa hoja za kijinga unapaka matope zaidi
 
  • Thanks
Reactions: prs
A person with an empty stomach is not a good political adviser.
 
He is retarded. CHADEMA ndio walioondoa walinzi na kamera? Si awape huo ushahidi wanaohangaika kujisafisha? Kweli kuwa ccm ni lazima uache kufikiri kabla hujaongea au kutenda.
Bila kusahau ni lazima pia utumie mabaki ya chakula yaliyopo tumboni kama ubongo
 
Huyu dakitari wa meno na kinywa anawavunjia heshima wenzake...Kama wasomi wanafikia hatua kama hii basi nibora hata asie jua kusoma na kuandika aruhusiwe kugombea ubunge na uraisi maana hakuna tofauti ya wasomi na wasio soma
 
Chadema ndio waliozuia Serikali isitolee maelezo ya zilipo CCTV camera?!
 
Jamani, ebu tuacheni masihara, Mungu anaona, atalipiza kwa kusema uongo, hili suala sio la masihara hata kidogo, Mungu anaona plz, mtapondwa..!!
Mkuu mambo kama haya ndo yaliyo nifanya nichukie serekali za CCM,.....siwezi kuheshimu asiye heshimu UHAI WA BINADAMU, kwa mizaa kama hii pale Soweto Arusha nani aliye kamatwa??????
 
Alaaniwe Mbowe na genge lake kwa kumpokea Lowassa na kuzipa hizi takataka toka ccm nafasi ya kugombea nafasi ndani ya cdm. Haya ndio matokeo ya kuokota wagombea toka ccm dakika za mwisho na kuwapa nafasi.
 
Msameheni huyo jamaa labda yupo period.
Haiwezekani kama nchi tunataka kujua kinaga ubaga nani aliyemshambilia Lissu risasi,halafu anatokea mtu mmoja na kuleta maneno ya kijinga kwa kiwango cha PhD halafu akabaki anajiita mheshimiwa.
That's stupidity statement!
 
Kumbe sio kila mwenye kipara ana busara[emoji41]
 
Back
Top Bottom