Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Hivi Huyo BOYA ni Dokta MD/Phd Kweli? Mie Naona anatumia Title kama wenzake kina Dr Manyaunyau au Dr Rick.
 
Autoe kama anao, hizo exceptions anazoweka ni za kitoto sana hazipaswi kutolewa na mtu mwenye kipara kama chake.
 
Mungu atamlaani

Bado yupo nje (hajakamatwa na polisi)?
Kama ni kweli anayoyasema basi naye ni mshirika (accomplice) katika jaribio hilo la mauaji .Pili kwa kukaa na habari hizo za ushiriki muda wote ambao serikali imekuwa ikichafuliwa kwa kuhusishwa asingestahili kuwa huru
 
Njaa huwa haimuachi mtu salama! Inamfanya ajisahaulishe kuwa yeye ni nani, anatoka wapi na anaenda wapi, ila siku akiumbuka ndipo majuto huanza.
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.


View attachment 1017124
Ruzuku ???? Ushahid wa Lissu MBNA matope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa sasa inakuwaje tena ushahidi kauwekea masharti? si ndo nafasi ya kuaiabisha chadema? kambembelezeni basi? HALAFU JAMAA ATAKUWA JEMBE SANA HUYU ANAFAA U WAZIRI HUYU

Kwa sifa ya ukichaa?
 
Kwanini tusijiulize chanzo kifo cha Chachawangwe, kwa nini Zitto aliamua kukihama chama na mengineyo mengi !!!
 
Nafikiri sasa polisi waanze na huyu mbunge inaonekana anazo siri za hilo shambulio

Mbunge CCM adai shambulio la Lissu ni mpango wa Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Chadema wako nje ya mipaka ya nchi hii kiasi kwamba hata wakifanya uhalifu serikali ya Tanzania haiwajibiki kwao?

Kama tunaweza kuwa na serikali inayovumilia wahalifu kisa wako upande mwingine wa itikadi za kisiasa, basi serikali iliyopo madarakani imekosa uhalali wa kutawala

Nchi hii mtaji mkubwa wa uwepo wa ccm madarakani ni upumbavu na ujinga wa baadhi ya Watanzania

Mbunge kama huyu anajua kweli kwanini yupo ndani ya bunge?!

Kama tunaweza kuwa na watunga sheria wa aina hii Tanzania bado safari ni ndefu sana sana, ni aibu kubwa kwa jamii ya wastaarabu kuwa na mwakilishi wa wananchi wa aina hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom