Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Ndio hao hao!mollel ni mchaga? kabila linaitwa wa arusha
mzee kweli ccm muwe na data za mabaya ya upinzani kweli itapita hata sekunde dunia haijajua!!!😆😆😆😆😆tena kwa ishu kama ya lisu ambapo hadi balozi kaomba poo! kweli!!!Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Huku ni kuweweseka kwa kiwango cha lami? Kuukalia/Kuuficha ushahidi si ni kosa la jinai? Polisi wanasubiri nini kumlazimisha kutoa ushahidi alionao?Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
okay ila wa kule kanda ya ziwa wapo vizuri halafu wana roho nzuri sana, wacha Mungu hadi makanisani huwa wanalia kabisaNdio hao hao!
Nadhani sasa polisi wamepata pa kuanzia. Kama hawatachukua hatua ni wazi wanajua ukweli na wanamwona huyu bwana ni kichaaHuku ni kuweweseka kwa kiwango cha lami? Kuukalia/Kuuficha ushahidi si ni kosa la jinai? Polisi wanasubiri nini kumlazimisha kutoa ushahidi alionao?
No wonder Lissu hana mpango wa kuja kwa sasa ili muumbuke kwanza kwani takataka hizi za kupikapika wanywa mataputapu wanaweza wakaziamini, ila haitasaidia na hatimaye wahusika wataumbuka tu no matter how long it'll take.
Nimejikuta natabasamu yaani, Lissu angekufa siku ile ya shambulio viongozi wote wa juu wa CHADEMA wangekuwa ndani kwa kuhusishwa na lile shambulio na propaganda ambazo zingetumika kuna baadhi ya mambumbumbu wangeamini, it's bloody too late now.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Sasa mbunge anakiri wizi bungeni bila hata chembe ya aibu?......hawa ndio wanaonajisi bunge letu!okay ila wa kule kanda ya ziwa wapo vizuri halafu wana roho nzuri sana, wacha Mungu hadi makanisani huwa wanalia kabisa