Unawatukana polisi wenye wajibu wao waziwazi hivi kwanini? Na huyo mjinga mwenzako hakujui polisi hadi asemee bungeni?hapo mollel kawakamata vibaya.alikuwepo mkipanga sasa yeye na mwita watamwaga kila kitu
Kamwambie kuwa hiyo ni dalili kubwa ya karma na huenda akavua nguo hadharani na au ndani ya bunge siku zijazo!
Halafu anajiita dr! Really? Dr gani asiyejua kuwa kila kitu kina sehemu yake? Sawa, kaliambia bunge or whatsoever, lakini bunge halina polisi wala mahakama! Na wewe unashabikia kilofa tu, bila kujiuliza! Nakudharau mno kwa sauti!