Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

hapo mollel kawakamata vibaya.alikuwepo mkipanga sasa yeye na mwita watamwaga kila kitu
Unawatukana polisi wenye wajibu wao waziwazi hivi kwanini? Na huyo mjinga mwenzako hakujui polisi hadi asemee bungeni?
Kamwambie kuwa hiyo ni dalili kubwa ya karma na huenda akavua nguo hadharani na au ndani ya bunge siku zijazo!
Halafu anajiita dr! Really? Dr gani asiyejua kuwa kila kitu kina sehemu yake? Sawa, kaliambia bunge or whatsoever, lakini bunge halina polisi wala mahakama! Na wewe unashabikia kilofa tu, bila kujiuliza! Nakudharau mno kwa sauti!
 
wanaogopa nn na Dk molleli amewathibitishia kuwapa ushahidi wa chadema kuhusika
Hana akili na hata waliokuwa wanamsikiliza wamemdiss na kumlinganisha na toilet paper iliyotumika!
Haijui ilipo ofisi ya Muroto au anamsubiri aje amkamate?
Tena yampasa rpc wa Dodoma amkamate mara moja na kumshtaki kwa kuijua Mipango ya kudhuru tena kwa silaha au kupanga mauaji kisha yeye akakaa kimya bila kuitaarifu polisi. Na kosa lingine ni kukaa na ushahidi bila kuupeleka polisi unakotakiwa.
Mwache ajichanganye kwa karma inayomuongoza kuelekea polisi akidhani atapata kinga kwa kuwa yupo ccm!
Na mwambie aache kulipa fadhila kijinga kwani anaichafua ccm na serikali yake kwa kuionyesha kuwa haifanyi kazi mbele ya jamii na wananchi!
 
Tanzania inachekesha sana, eti huyo Mollel naye anajiita Dr, sasa wale wa matunguli sijui watajiitaje. Ndio maana sisi ni Shithole.
 
kwani huyo bwabwa mwenzako lisu hajui polisi mpaka akasemee kwenyw midia za nje
Mbona unarukaruka kama uliyeikalia? Hoja ni ipi? Au umeingiwa uoga? Dola inakusoma na hata mwajiri wako chakubanga anakuona unavyowachafua ujue! Buku saba zitapaa na kwa njaa uliyo nayo sijui utaishije! Jiandae tu kuwajibu wakikuhitaji kwani nimewarahisishia kazi ya kuwaonyesha wanafiki wanaojificha ccm kuwachafua mbele ya jamii!
 
kwa maana hiyo mnatudhihirishia kuwa kitengo cha usalama wa taifa cha tanzania ni dhaifu. Kama chadema waliweza kwenda kwenye nyumba za viongozi na kuwatoa walinzi wote, kisha wakamtwanga risasi lissu na kuondoka bila kukamata. Halafu baada ya siku kadhaa wakarudi na kung'oa cctv camera zote eneo la tukio bila vyombo vyetu vya usalama kuwang'amua na mpaka leo bado mmeshindwa kuwakamata na huku mnasema mnao ushahidi. Poleni sana watanzania
 
lowasa ameinunua chadema nzima itakuwa mtu mmoja .kenge ww akili ya mollel ni akili ya chadema wote
Unajitahidi kumtete Huyu masai uchwara ila unagonga mwamba, sasa si awape ushahidi wenzake ili hao chadema watiwe hatiani, kunahaja gani ya kuhangaika kama mtu yupo na anaushahidi, halafu leo ndio amejua kuwa aliiba ushahidi, kabla Lissu kuhojiwa alikuwa hajui kama anao,
Huu umalaya wa kisiasa utawatesa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo huko Mjengoni ndio polisi au mahakamani?! Haha, halafu anadai wakati ukifika atauweka hadharani, yaani wakati ameshakamilisha kuupika huo ushahidi. Kick za hovyo kabisa.
 
Huyo mollel angekuwa na akili japo ya kumzidi msukuma wa Geita angeliambia bunge waaitwe wachunguzi wa nje ili kuumbua ushiriki wa chadema angeonekana ana akili ushahidi anao akati mzizi aupeleke panapohusika ili dunia ijue maana inasubiri majibu
 
Mh.Mollel umetoka Chadema waache Chadema kama ni kweli walipanga njama mbona Polisi walisema wote wenye taarifa wazipeleke polisi kwanini hukupeleka? kwa hiyo na wewe ni sehemu ya wapanga njama?
Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (CCM) Adai Mpango wa Tundu Lissu Kupigwa Risasi Uliratibiwa na CHADEMA Wenyewe. | MPEKUZI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari hii
Wengine kwa matukio yao na midomo yao kutoa porojo..
Tulishajua ndio wahusika
Oh madam cockroch kwa kunusa nusa uchafu huwezekani. Kama uliishajus mbona hujawadokeza vijana wa Sirro ili wakamilishe uchunguzi?
 
Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (CCM) Adai Mpango wa Tundu Lissu Kupigwa Risasi Uliratibiwa na CHADEMA Wenyewe. | MPEKUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ukweli uongo hujitenga....ingekua kweli wahusika wangekua lupango kabla yeye hajawauza waliomfikisha alipo kwa fedha. Nahisi fedha alizopewa zimeisha...
 
Back
Top Bottom