Unawatukana polisi wenye wajibu wao waziwazi hivi kwanini? Na huyo mjinga mwenzako hakujui polisi hadi asemee bungeni?hapo mollel kawakamata vibaya.alikuwepo mkipanga sasa yeye na mwita watamwaga kila kitu
Naona umeamua kujitoa ufahamu Umekua kama maiti inayotembealowasa ameinunua chadema nzima itakuwa mtu mmoja .kenge ww akili ya mollel ni akili ya chadema wote
Hana akili na hata waliokuwa wanamsikiliza wamemdiss na kumlinganisha na toilet paper iliyotumika!wanaogopa nn na Dk molleli amewathibitishia kuwapa ushahidi wa chadema kuhusika
Mbona unarukaruka kama uliyeikalia? Hoja ni ipi? Au umeingiwa uoga? Dola inakusoma na hata mwajiri wako chakubanga anakuona unavyowachafua ujue! Buku saba zitapaa na kwa njaa uliyo nayo sijui utaishije! Jiandae tu kuwajibu wakikuhitaji kwani nimewarahisishia kazi ya kuwaonyesha wanafiki wanaojificha ccm kuwachafua mbele ya jamii!kwani huyo bwabwa mwenzako lisu hajui polisi mpaka akasemee kwenyw midia za nje
Unajitahidi kumtete Huyu masai uchwara ila unagonga mwamba, sasa si awape ushahidi wenzake ili hao chadema watiwe hatiani, kunahaja gani ya kuhangaika kama mtu yupo na anaushahidi, halafu leo ndio amejua kuwa aliiba ushahidi, kabla Lissu kuhojiwa alikuwa hajui kama anao,lowasa ameinunua chadema nzima itakuwa mtu mmoja .kenge ww akili ya mollel ni akili ya chadema wote
Kweli kabisa pia chadema waliondoa walinzi wote Siku hiyoNi kweli, Chadema pia waling'oa kamera za CCTV ndani ya mazingira ya tukio. Kweli hawa chadema wachunguzwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi hiyo mimba uliyonayo tujize ni ya mbowe au lowasa?
Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (CCM) Adai Mpango wa Tundu Lissu Kupigwa Risasi Uliratibiwa na CHADEMA Wenyewe. | MPEKUZI
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh madam cockroch kwa kunusa nusa uchafu huwezekani. Kama uliishajus mbona hujawadokeza vijana wa Sirro ili wakamilishe uchunguzi?Habari hii
Wengine kwa matukio yao na midomo yao kutoa porojo..
Tulishajua ndio wahusika
Yani huyu mbunge mchumia tumbo hata huo udaktari sijui aliusomea wapi mtu mwenyewe anaonekana ni mchafu mchafu tuNaunga mkono hoja. Kama kuna mtu anabisha aombe picha ya huyo Mollel amuangalie vizuri.
Kwenye ukweli uongo hujitenga....ingekua kweli wahusika wangekua lupango kabla yeye hajawauza waliomfikisha alipo kwa fedha. Nahisi fedha alizopewa zimeisha...Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (CCM) Adai Mpango wa Tundu Lissu Kupigwa Risasi Uliratibiwa na CHADEMA Wenyewe. | MPEKUZI
Sent using Jamii Forums mobile app