Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Hizi takataka zote mwisho wao 2020, labda goli la mkono liwaokoe
 
akawaripoti kwa Siro wakamatwe upesi!!

#mollelkimeo
Hapa sasa wananchi tuelewe nini kwamba ushaidi hupo au watu wanatumia kings ya bunge vibaya. Kwa nini anasemea bungeni badala ya kupeeka
Acha aanike uozo wa chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu ni kwa nini anasemea bungeni badala ya kupeleka polisi? Huku ni kutumia kinga ya bunge vibaya kwa kuwa anajua polisi haweeezi kuhoji chochote kilichotokea bungeni
 
Siku zake zahesabika itabidi ampishe mwenye Jimbo lake Aggrey Deaslie Joshua Mwanri... Mzee wa SOMA hiiiiyo
 
Sasa spika atajuaje kama fulani anamwa kama hana taarifa rasmi?? Yeye kiongozi wa bunge na sio kiongozi ya wanaotumiwa na mabeberu kutowesha amani ya nchi yetu..kuna utaratibu wa kumjulisha spika na inabidi ufatwe..hebu tumia makalio yako kidogo kufikiri..hivi leo spika akisema.fulan anaumwa wakati watu wanamuona ana danga huko kwa wazungu je wananchi waramuelewa spika??
 
Watu wengine haifai hata kuandika elimu zao inatia kichefuchefu!
 
Ndiyo hao chadema waliowaondoa hadi walinzi Kwani nao wanaripoti kwa chadema, na cctv nazo waling’oa hao chadema pia. Na wale waliokuwa wanakataza asiombewe walikuwa hao hao chadema. Na waliokataa kufanya upelelezi na kufunga file ni hao hao chadema. Ni kweli hayo mazingira yanaonesha kabisa kuwa chadema walipanga kumuua, wakalazimisha apelekwe Nairobi badala ya muhimbili ili akafie huko.
 
Ulishajiuliza kwa nini dereva wa Lisu anajieleza kwenye redio badala ya kupeleka hayo maelezo polisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nizaidi ya maiti
 
Kwa vile watanganyika mmefikia patamu kwa kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe ,nitafurahi zaidi mkiangamizana kabisa,maana uhai wa mtu kwenu si kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa Lissu ni mbunge wa jamhuri ya muungano wa watanzania, na kilichofanyika dhidi yake ni uhalifu, nashauri polisi ianze na Dr Mollel kwa sababu anao ushahidi wakutosha kuwabaini waliofanya uhalifu dhidi ya Lissu. Ni jambo lakushangaza sana kuona mtu ana ushahidi wa tukio zito kama hili halafu polisi haija muhoji. Na mbaya zaidi ni pale bunge nalo linaponyamazia tuhuma nzito namna hii bila ya mbunge husika kutakiwa na kiti kufuta ama kuthibitisha kauli yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…