pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
Atakimbia kuhojiwa kama dereva wa LisuItashangaza kama vyombo vya usalama bado vitamsubili lisu aje ahojiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakihamia huko waga wanakabidhi akili kwa akina Polepole.Alikuwaga chadema na udokta wake lakini......
Mbona mbowe alinunuliwa na Lowasa na bado unamwamini?Mollel hawezi kuaminika na kama alikubali kununuliwa atakubali kutumika kwa lolote lile ilimradi mkono uende kinywani! Mollel ni mtu mwoga sana lakini pia ni opportnist mzuri! CCM wanamtosa 2020!
Na waliomteka MO watakuwa chademaHabari hii
Wengine kwa matukio yao na midomo yao kutoa porojo..
Tulishajua ndio wahusika
Alaa...! Kumbe na Molel ni kama alivyonunuliwa Nyalanduu na nduguye Lowasaa na Sumayee...basi kama mtindo ndio huo basi wacha mwenye kisu kikali ndie ale nyama..msilalamike..Nadhani ni vema tukawa tunajadili kauli za watu ambao wana akili timamu.
Mole sidhani kama ni mzima. Mtu yeyote anayeweza kukubali kununuliwa lazima awe na upunguani wa aina fulani. Huyu definately ni punguani.
Hata serikali yenyewe inajua kuwa kauli hii imetoka kwa punguani ndiyo maana hakuna atakayeifanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Lowasaa alivyonunuliwa na Mbowee...hahahaa...
Kwani yule anayezunguka huko ulaya hajui sehemu sahihi ya kutoa malalamiko yake?Unawatukana polisi wenye wajibu wao waziwazi hivi kwanini? Na huyo mjinga mwenzako hakujui polisi hadi asemee bungeni?
Kamwambie kuwa hiyo ni dalili kubwa ya karma na huenda akavua nguo hadharani na au ndani ya bunge siku zijazo!
Halafu anajiita dr! Really? Dr gani asiyejua kuwa kila kitu kina sehemu yake? Sawa, kaliambia bunge or whatsoever, lakini bunge halina polisi wala mahakama! Na wewe unashabikia kilofa tu, bila kujiuliza! Nakudharau mno kwa sauti!
Kuna muongo muongo mwingine anazunguka kwenye vyombo vya habari huko ulaya anadanganya danganya tu kuvuta huruma za wazungu..Tahira huyo hajitambui asifikir wa tz ni wajinga kama yeye amezoea kuishi kwa uongo uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa mambo ya ndani amesema "hakuna kesi" sabbu mlalamukaji hayupo ukipeleka mahakamani mlalamikaji anakuwa nani? Unapomtafuta mshitakiwa?Unajitahidi kumtete Huyu masai uchwara ila unagonga mwamba, sasa si awape ushahidi wenzake ili hao chadema watiwe hatiani, kunahaja gani ya kuhangaika kama mtu yupo na anaushahidi, halafu leo ndio amejua kuwa aliiba ushahidi, kabla Lissu kuhojiwa alikuwa hajui kama anao,
Huu umalaya wa kisiasa utawatesa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app