pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
polisi walipohitaji ushirikiano na taarifa alikuwa wapi ?
mwaka mzima tangu septemba 7 2017 alikuwa wapi ?
dunia nzima imeshaelewa magaidi ni nani ?
jiwe katika uhaba wake wa akili naona anatafuta aibu nyingine kuonesha yeye si gaidi..
Naona wamepanga kuedit audio na video kama kipindi kile kwa Wakatare.
MLISHINDWA KUTUZIBA MACHO MLIPOMTEKA MOO SALAH, MKALETA SMART PHONE PICTURES, kkkkk
CHADEMA WAPO MAKINI HATA KWENYE IT
Lema waliwahi kumueditia picture mbovu.
Sent using Jamii Forums mobile app