Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dr Mollel mbunge wa SIHA mi bado cjakuelewa ila upo karibu kunishawishi ukiniondolea dukuduku zifuatazo:-Umesema shambulio la LISSU ni mpango wa CHADEMA je:- 1:.Walinzi wa site 1,2 na 3 ni waajiriwa wa serikal ya chama gan,je CHADEMA wana mamlaka ya kuwazuia na kuwatoa eneo la kazi? 2:.Je serikal imechukua hatua gan kwa hao walinz ambao walishndwa kutmiza wajibu wao? 3:.Je CCTV camera zmefungwa upya baada ya kuonekana zilitolewa na kushndwa kuchukua picha ya shambulio la LISSU,kuna taratbu zozote znafanyka kujua nan altoa hzo camera? 4:.Hawa CHADEMA waliofanya shambulio hilo kwa kuwa wanafahamika,nn knasubiriwa kuwachukulia hatua? 5:.Je ww km mbunge, mmoja wa mihimir mikubwa ya serikal umeishaur nn serikal juu ya hil tukio la kidharimu mbal la kutoa hoja zako mtandaoni? "KM HAKUNA KILICHOFANYIKA KAT YANILOUZA HAPO JUU,HUONI LISSU ANAENDELEA KUPATA NGUVU NA KUAMINIKA ZAIDI KWA KILE ANACHOKIEZA HUKO DIASPORA" "BINAFC LISSU KWA HOJA ZAKE NAMWOGOPA SANA" "C WAKUJIBIWA NA KLA ANAEJICKIA KUJBU"
 
Huyo kapangwa kuyasema hayo ili watu tuamini, kwakuwa katoka chadema hivyo maneno yake ni kweli.
Ktk sakata la Lisu waliohama chadema wataongea sana. NENO LA MUNGU LI HAI. ANAAMBIWA KAINI, DAMU YA NDG YAKO INANILILIA TOKA ARDHINI.hawa wataweweseka sana mwisho wa siku wataanza kutajana bila wao kujua wafanyacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndo wa kukamata ili aisaidie polisi na uchunguzi uanze kwake.La sivyo atakuwa kategeshwa kuvuruga ziara za Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na maelezo aliyotoa mbunge wa jimbo la Siha Bwana Molleli, amesema anao ushahidi wa jinsi gani viongozi wa CHADEMA walipanga njama za kumshambulia kwa risasi 30 Lissu.
Hata hivyo mbunge Molleli amesema hatotoa ushahidi mpaka pale viongozi wa chadema watapomueleza fedha za ruzuku zinakwenda wapi na mpango waliotaka kuufanya kwa Zitto na marehemu Chacha Wangwe walipotaka kugombea uenyekiti wa chadema..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Mzima unajivua udaktari wako na kuamua kumwaga pumba!! watoto wako wanakusikia, mkeo anakusia, ndugu wanakusikia, wasomi wenzako wanakusikia - aisee bora nife kapuku kuliko kutumikia tumbo.
 
Dr. Mzima unajivua udaktari wako na kuamua kumwaga pumba!! watoto wako wanakusikia, mkeo anakusia, ndugu wanakusikia, wasomi wenzako wanakusikia - aisee bora nife kapuku kuliko kutumikia tumbo.
HAIJAPATA KUTOKEA MTU WA CHAMA KILE APEWAPO NAFASI AKAMWAGA "PWENTI" SIJUI HUWA WANAROGWA!?
 
Dr. Mzima unajivua udaktari wako na kuamua kumwaga pumba!! watoto wako wanakusikia, mkeo anakusia, ndugu wanakusikia, wasomi wenzako wanakusikia - aisee bora nife kapuku kuliko kutumikia tumbo.
Huyo ni doctor wa makaratasi ila kiubinadamu hakuna daktari hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…