Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani

Dkt. Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo

Maelezo hayo yamepuuzwa na Aida wa Chadema

Nawatakia Sabato Njema!
Huwa namuangalia sana sura yake huyu Dr Mollel ......sure za mataahira zile kabisa ....angalia shule yake fail zaidi mara 10 .......pia jana mjadala mzima alikuwa amesinzia mazima sishangaiiiii uwezo wake so mdogo ila hana lolote kichwani .....
 
CCM kwa ujumla kile chama hakina akili unakuwa bumbuwazi kabisa yaani, sijui huwa wanafikiria nn yaan hata kweli kwa macho hawaoni kabisa kwamba tunapigwa apa, raisi mzanzibar na waziri anayetia saini ni mzanzibar hakuna mbara pale alafu bado wanashadadia ujinga tu
 
Back
Top Bottom