Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
BADala ya kujikita kujadili Mkataba Dongo ni Kwa Mbowe. Yaani maoni ya Mbowe ndiyo yamewakisanya Wote Kwa Posho ya Laki 3 hawana hata Shukrani.Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani
Dkt. Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo
Maelezo hayo yamepuuzwa na Aida wa Chadema
Nawatakia Sabato Njema!