Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Ama kweli Nyani haoni kundule huyu Molel hana shukrani kabisa, huyo anayemwita muhuni ndiye aliyemwokota mtaani na kumfikisha hapo alipo aache dharau 2025 sio mbali.Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani
Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo
Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema
Nawatakia Sabato Njema!