Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

Mimi naupinga

Huyo Molel aache unafiki
Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani

Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo

Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema

Nawatakia Sabato Njema!
 
"The main difference between BRAVES and FOOLS is that, "Braves" speaks when they have something to say, but "Fools" speaks because they have to say something".
 
Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani

Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo

Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema

Nawatakia Sabato Njema!
Alisikika yule mmojawapo wa Wezi wa kura akisema,"Nimekosa mimi,nimekosa mimi,Nimekosa sana " mara akajiuzulu cheo kumbe alikuwa anajua kinachokuja mbeleni,tumpongeze kwa hilo.
 
Hii inadhihirisha kuwa hata wabunge wenyewe hawaelewi wanajadili nini. Mara wanasema hakuna mkataba bali makubaliano baina ya serikali ya dubai na Tanzania, mara wengine wanasema hakuna anayepinga mkataba wa bandari... Hata hawa wabunge inaelekea hawaelewi wanachojadili ila mihemko tu au wanaelewa ila kwa sababu wanadanganya at some point wanajisahau
Kwa hiyo haijulikani kama huu ni mkataba (contract) au makubaliano (agreement/memorandum of understanding)!!!
 
Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani

Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo

Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema

Nawatakia Sabato Njema!
 
Attachments

  • F776750A-293C-41DC-9B8A-4BB94BDE93AA.jpeg
    F776750A-293C-41DC-9B8A-4BB94BDE93AA.jpeg
    47.3 KB · Views: 1
Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani

Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo

Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema

Nawatakia Sabato Njema!
Cc Lusungo
 
Back
Top Bottom