Serekale 😂😂Sema Serekale imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.
Hatari sn"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Kwani Raisie anapewa zake binafisi za kutoa?"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Hii tabia ya kusema Rais fulani ametoa shs fulani ni mbaya sana. Inatengeneza kutukuza mtu kuona ndio mwenye hela. Kwanini msiseme serikali imetoa kiasi fulani? Tengenezeni taasisi imara na sio utukufu kwa watu."Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Na zaidi ya hapo,maza hataki kusifiwa hivyoSema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.
Pesa zetu jamani sio za Samia. Hawa wafuasi wa mwendazake aliwaathiri sana."Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Huyo mpumbavu bado ana hangover ya mwendazakeSema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.
Hii tabia ya kusema Rais fulani ametoa shs fulani ni mbaya sana. Inatengeneza kutukuza mtu kuona ndio mwenye hela. Kwanini msiseme serikali imetoa kiasi fulani? Tengenezeni taasisi imara na sio utukufu kwa watu.
Hata sijui kwa nini tena inafaa kusema serikali imetenga. Huku kujipendekeza kisa vyeo mh.Hii tabia ya kusema Rais fulani ametoa shs fulani ni mbaya sana. Inatengeneza kutukuza mtu kuona ndio mwenye hela. Kwanini msiseme serikali imetoa kiasi fulani? Tengenezeni taasisi imara na sio utukufu kwa watu.
Dkt. Mollel baada ya kutimia bei na kupewa unaibu waziri amekuwa mpumbavu sana heri hata changudoa!"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
UKWELI MTUPUUkisoma between line mheshiniwa anatuambia kuna ubadhilifu sana NHIF. Hii mifuko sijui pension sijui bima hua inawanufaisha zaidi watumishi wa hizo taasisi kuliko wanachama wanaochangia
hawa ni mataga tuSema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.
"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel