TimeStope
Member
- Mar 12, 2021
- 80
- 126
Wachumia tumbo watakujibu, "hata kama ni za wanainchi yeye ndiye mkusanyaji". 😂😂😂Mawaziri mataahira... Rais ametoa wapi hizo hela? Manina zao
Wachumia tumbo watakujibu, "hata kama ni za wanainchi yeye ndiye mkusanyaji". 😂😂😂Mawaziri mataahira... Rais ametoa wapi hizo hela? Manina zao
Nao ni wapumbavu tu...Wachumia tumbo watakujibu, "hata kama ni za wanainchi yeye ndiye mkusanyaji". 😂😂😂
Safi kabisa hawa wapumbafu wana mharibu huyu maza, fedha ni mali ya serikali hata Jaji Warioba kasema hili jana.Sema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.
Upo sahihi kabisaHata Bakhresa hawezi kutoa hizo. Sembuse Samia?
Ametoa mfukoni kwake?"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Yote haya yalianzia enzi za mwendazake.... "serekale ya Magufuli"Sema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.
Rais Samia yeye anatoa wapi hela?"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Hii tabia ya kusema rais wetu mpendwa sijui shujaa etc amefanya nini inatia kinyaa sana. Na iliasisiwa majuzi tu wakati wa magufuli. Mollel ajue kwamba sio Samia ametoa hiyo pesa. Ni bajeti ya serikali inatekelezwa full stop."Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
HILI MOLLELI KUBWA JINGA...HATA KIMUONEKANO TUMawaziri mataahira... Rais ametoa wapi hizo hela? Manina zao
Pesa ya Samia au pesa ya mamake Samia.?! ndio ile mikopo ya Covid, imeingia na walipaji sio Babake Samia.Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
Ametoa kutoka mfukoni kwake?Ila magu alikuwa anajenga reli..madaraja...umeme rufiji..zilikuwa za kwake Wala sio za serikali Ila mama akitoa ni za serikali...hamjaelewa hizo pesa hazikupitishwa na bunge Ila rais kwa utashi wake na mamlaka ametoa kusaidia watu...kwa hiyo rais ametoa sio serikali
Kama Magufuli alikosea na huyu aliekuwa msaidizi wake akikosea lazima akosolewe, fuateni sheria, wacheni pesa zipitishwe na Bunge sio mnakurupuka kwa matumizi nakuacha deficit sehemu nyingine.Ila magu alikuwa anajenga reli..madaraja...umeme rufiji..zilikuwa za kwake Wala sio za serikali Ila mama akitoa ni za serikali...hamjaelewa hizo pesa hazikupitishwa na bunge Ila rais kwa utashi wake na mamlaka ametoa kusaidia watu...kwa hiyo rais ametoa sio serikali
Na sio serikali imetoa. Hizo ni pesa zetu tunazo katwa. Na watu wengine wana zilipa cash. Ukiritimba wa Serikali ya Ccm wana dhani ni zaoSema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.