pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Kabisa mkuuHILI MOLLELI KUBWA JINGA...HATA KIMUONEKANO TU
Wanasema Rais ni taasisi.Hii tabia ya kusema Rais fulani ametoa shs fulani ni mbaya sana. Inatengeneza kutukuza mtu kuona ndio mwenye hela. Kwanini msiseme serikali imetoa kiasi fulani? Tengenezeni taasisi imara na sio utukufu kwa watu.
"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Sema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.R#
Rais ana mamlaka na utashi wake angeweza kuamua kujenga terminal two Chato International Airdrome badala ya kulipia bima ya afyaSema Serikali imetoa sh.....
Mbona mnampamba sana? Ana mfuko wa Rais nje ya kodi?
Mkijipendekeza sana mtafeli nyie wateule.
Pia ajue matumizi ya serikali hayaidhinishwi na rais bali bunge.Hii tabia ya kusema rais wetu mpendwa sijui shujaa etc amefanya nini inatia kinyaa sana. Na iliasisiwa majuzi tu wakati wa magufuli. Mollel ajue kwamba sio Samia ametoa hiyo pesa. Ni bajeti ya serikali inatekelezwa full stop.
Hiyo ni kwa mujibu wa katiba ipi?Rais ana mamlaka na utashi wake angeweza kuamua kujenga terminal two Chato International Airdrome badala ya kulipia bima ya afya