Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Duh

=====

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Washauri wa Rais ni kina nani kama siyo ninyi Mawaziri na kamati kuu ya CCM!

Kwa hiyo wote hao ni wajinga akiwemo Dr uchwara Mollel!
 
Duh

=====

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Atoe ujinga wake yeye ndio alitoa ushauri wa kijinga akasababisha Magu atunushiane misuli na bwana covid 19 kilichotokea ulimwengu mzima unajua.

Huyo alitakiwa awe ndani kwa kesi ya uhaini.
 
Duh

=====

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
...yeye ni mmoja wa hao washauri wa Rais......
Kwa hivyo yeye pia ni mmoja ya hao wajinga wengi!
=Over=
 
Back
Top Bottom