Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Itakuwa anapumzishwa wala hajaomba!!

Prof Assad naye tuliambiwa kastaafu kumbe dingi kastaafishwa hadi leo ana nongwa balaa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.Dk Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.

Dk Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023.Rais Samia amempendekeza Dk Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
 
Sasa kama anaendelea kuwa Makamu hadi mwisho wa awamu hii wanatutangazia ya nini?
 
Mkuu kumbuka anajengewa nyumba, magari kila baada ya miaka mitano, ulinzi, mshahara kwake na mke wake hadi kufa kwake...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.Dk Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.

Dk Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023.Rais Samia amempendekeza Dk Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
 
Yule Mseminari OG, amenyooka
 
Tuwekee barua ya Dr Mpango ya kujiuzulu hapa!
 
Attachments

  • IMG_4035.JPG
    35.5 KB · Views: 5
Ccm hawapo serious,ila watu wengi hawajapenda uhuni uliofanyika.Chama imara kingine kingekuwepo,tume huru ingekuwepo,katiba nzuri ingekuwepo ccm wasingeshinda uchaguzi mwaka huu
 
Kuna jambo halipo sawa.... Naamini kuna fukuto kubwa.... connect dots.. kuanzia kuchaguliwa mgombea urais mapema hivi, na isju ya Mipango...
#DpW
#Rcio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…