Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpango kapigwa TK-O.

Nadhani arrogance, conservatism na hardline approach imemuondoa.

Au labda ndio wale Mkuu wa Majeshi alisema........ wa nchi jirani

Bado majaliwa aje apigwe tukio pale akae Biteko.
Nchi jirani nini...kama iondoeni kigoma isiwe sehemu ya Tanzania
Warudishieni warundi au wakongo

Ova
 
✅🟢🟢🟢🟢🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏


Sasa kumekuchaaaaaa, Jogooo limewika Dodomaaaa, Kada wa CCM tumpe kura za ndioooooooooo..!!!

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿


Hongera sana Mh. Rais Samia, Mwenyekiti na Mgombea wetu wa Urais wa CCM, hongera sana Mh. Balozi Dr. Emanuel Nchimbi, kuwa mgombea mwenza wa Urais wa CCM

Jogoo limewika Dodomaaaa….!!! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo.

Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.

Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema

""Dkt. Philip Mpango ndiye Makamu wa Rais miezi ya karibuni hapa amekuja kuniona kuniomba apumzike, ana sababu kadhaa lakini sio za kazi, anasema yeye sasa ana miaka 68 na angependa kuishi zaidi kwahiyo naomba nipumzisheni.

Nikambishia bishia Wiki iliyopita hapa akanikabidhi barua yangu hii ( ya kujiuzulu?) na barua sikumjibu, nilipoenda kwenye Kamati Kuu nikawaeleza hiyo hali na kwa pamoja wote tukakubali tumpumzishe"


View attachment 3206674

Source: Millard Ayo
Hakuna cha kuomba hapo, nimchakato wa mda refu huo
 
Mpango kapigwa TK-O.

Nadhani arrogance, conservatism na hardline approach imemuondoa.

Au labda ndio wale Mkuu wa Majeshi alisema........ wa nchi jirani

Bado majaliwa aje apigwe tukio pale akae Biteko.
Kakataa kuingia kwenye ujinga. NUKTA.
 
Kwa kipindi chote alichohudumu hiyo nafasi hajaisaidia Kigoma kwa chochote kile wakati wenzie wanajenga Kizimkazi.

Dr Mpango ni mzigo acha apumzike.
Sikweli,,ameisaidia kigoma sana..Rami zinakamilika,,umeme wa gridi..zamani kigoma ilikuwa hali mbaya sana
 
Back
Top Bottom