To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣 Imeisha hiyo 🥴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Imeisha hiyo 🥴
HakikaInaonekana ameishi maisha ya amani sana
We kama Nan unasema hivyo acha nitunze hii comment ya kichawikwa sababu ndiye raisi mtarajiwa naotea hivyo, mtashangaa kitakachofwatia siku zijazo …
Kwani Mange Kimambi hili analizungumziaje?
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo.
Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema
""Dkt. Philip Mpango ndiye Makamu wa Rais miezi ya karibuni hapa amekuja kuniona kuniomba apumzike, ana sababu kadhaa lakini sio za kazi, anasema yeye sasa ana miaka 68 na angependa kuishi zaidi kwahiyo naomba nipumzisheni.
Nikambishia bishia Wiki iliyopita hapa akanikabidhi barua yangu hii ( ya kujiuzulu?) na barua sikumjibu, nilipoenda kwenye Kamati Kuu nikawaeleza hiyo hali na kwa pamoja wote tukakubali tumpumzishe"
Hii ilikuwa nafasi ya mbowe nyeupe kabisaKumekuchaaaaa!!!
Wewe nae hebu tuache bwana.
Waliokiandaa kumpinga Samia ndani ya CCM wamepigwa kata funua hawatakaa waisahau hii milele. Hakuna aliyetegemea kuwa hiki kikao kinaendankufanya maamuzi makubwa kama haya.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo.
Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema
""Dkt. Philip Mpango ndiye Makamu wa Rais miezi ya karibuni hapa amekuja kuniona kuniomba apumzike, ana sababu kadhaa lakini sio za kazi, anasema yeye sasa ana miaka 68 na angependa kuishi zaidi kwahiyo naomba nipumzisheni.
Nikambishia bishia Wiki iliyopita hapa akanikabidhi barua yangu hii ( ya kujiuzulu?) na barua sikumjibu, nilipoenda kwenye Kamati Kuu nikawaeleza hiyo hali na kwa pamoja wote tukakubali tumpumzishe"
Ka J sio?Kale ka binti lazima kapewe hata ukuu wa wilaya
Huyo alishajisalimisha zaman akapewa na zawad ya uspikaAmebaki mmoja tu mwenye nguvu.
Tulia Akson. Tumuombee
Mange kapoteana kishenzi siku hizi!Kwani Mange Kimambi hili analizungumziaje?
Kenye miwani kaleKa J sio?