Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

Na upinzani si umeufuta nyie. Endeleeni kujikosoa wenyewe hivyo hivyo kinafiki.
 
Si wamebaki CCM tupu bado tu wanaibiana?
 
Ndege nyengine mpya zitaanza lini kununuliwa
 
Huwezi kupambana na rushwa ukafanikiwa kwa kuondoa transparency.
 
Kuna jamaa yuko Geita huko anaitwa APOLNAL ni Mkurugenzi wa halmashauri ya Geita, amenunua V8 la milioni 460 kwa pesa za mfuko wa halmashauri wenye kata zisizozidi 16 aanze kumulikwa huyo kwanza.
 
Kuna jamaa yuko Geita huko anaitwa APOLNAL ni Mkurugenzi wa halmashauri ya Geita, amenunua V8 la milioni 460 kwa pesa za mfuko wa halmashauri wenye kata zisizozidi 16 aanze kumulikwa huyo kwanza.
10% = 46,000,000

Ananunua gari yake binafsi, gari ya mkewe na bajaj!
 
Tuanze kwanza kuchunguza manunuzi ya ndege kabla ya kuchunguza manunuzi mengine.
Boss hafuati sheria za manunuzi kwa madai kwamba zinachelewesha maendeleo .... wengine wakifanya hivyo unakuwa ubadhirifu!!
 
Serikali yote ni ya CCM hao wezi wanatoka wapi?
Mkuu watumishi wa serikali nafasi za kiutendaji na siyo za kisiasa au kuteuliwa kupitia siasa zina watu toka vyama vyote na wengi zaidi hawana vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…