Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

Serikali yote ni ya CCM hao wezi wanatoka wapi?
Hata kwenye Serikali ya Yesu wezi na wasaliti walikuwemo - zakayo mtoza ushuru na yuda ni vielelezo vya mfano.

Siku zote Serikali hupambana kupunguza tatizo fulani kwa kuwa haiwezi kumaliza dhambi nchini - sasa hao wanaotajwa na Mpango wajiandae
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Eti Waziri Anajifanya Anashangaa!!!!
 
Back
Top Bottom