Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

Tunataka kuona matunda ya uzalendo wake. siyo blah blah zaaneno matupu.
 
Wamepania, lakini hiyo picha si halisi. Iangalie kwenye magoti ya Mpango. Kama amevaa gum boots.

Ni waovu wanaojaribu kuhalalisha uovu wao.
Kama hawa watu wamefikia kiwango hiki cha ujinga, basi tunalo tatizo kubwa sana hapa kwetu.

Ina maana watafanya udanganyifu wowote ule ili mradi wafikie lengo lao.

Magufuli alifanya baadhi ya mambo na kuonekana kama anakichaa; hawa wanaojifanya kufanya mambo kistaarabu huku wakiumiza kuliko Magufuli wanadhani hila zao hizi hazitafahamika na wananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…