Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.'

' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.'

' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na kuwakumbusha uzalendo kwa Taifa letu uwe kipaumbele namba moja.'

'Mzee Mpango watu wasimfikirie vibaya jamani na kama utaona hata siku anakutana nao alivaa tai ya bendera ya Taifa ile ilikuwa inawapa maana ya uzalendo wake wale mabwana.'
Tunataka kuona matunda ya uzalendo wake. siyo blah blah zaaneno matupu.
 
Wamepania, lakini hiyo picha si halisi. Iangalie kwenye magoti ya Mpango. Kama amevaa gum boots.

Ni waovu wanaojaribu kuhalalisha uovu wao.
Kama hawa watu wamefikia kiwango hiki cha ujinga, basi tunalo tatizo kubwa sana hapa kwetu.

Ina maana watafanya udanganyifu wowote ule ili mradi wafikie lengo lao.

Magufuli alifanya baadhi ya mambo na kuonekana kama anakichaa; hawa wanaojifanya kufanya mambo kistaarabu huku wakiumiza kuliko Magufuli wanadhani hila zao hizi hazitafahamika na wananchi!
 
Back
Top Bottom