Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Ni sahihi tunafichwa Sana yaani ni uongo uongo
 
Mkuu unauhakika gani anachokisema amekisema bila kupata ushauri wa wataalum wahayo mambo
 
"Timu ya Taifa ya Wahandisi" kikosi Mahiri cha Wahandisi wazawa katika mradi wa JNHPP / STIEGLER'S GORGE RUFIJI

Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji linatotegemewa kuzalisha 2115 MW wa umeme Tanzania. Mhandisi Robert Kabudi anaitaja timu hiyo ya watu 21, kikosi anacho kibainisha kama timu ya kutizamwa duniani.


Timu hiyo ya wahandisi wa kiTanzania walio na ujuzikazi kwa vitendo, kuna mhandisi aliyepata kusimamia mradi wa kiwanja cha ndege cha Dubai kilichokuwa na bajeti ya zaidi ya US$ 3.5Bn. Miradi mikubwa ya Qatar, Abu Dhabi, Botswana , World Cup Africa Kusini 'wachezaji' wake waTanzania wazalendo wahandisi walishiriki ktk ujenzi huko ughaibuni.

Wahandisi hao chini ya kitengo cha Tanroads Engineering Consultanting Unit TECU wana kiu ya kuongeza CV zao ktk mradi huu wa Rufiji wenye bajeti kubwa kuliko iliyotumika ktk ujenzi wa Uwanja Mkubwa Mpya wa Ndege Dubai na hivyo si tu kuitambulusha Tanzania bali hata wahandisi wazalendo kwa ulimwengu kukitokea mradi wowote mkubwa nje ya Tanzania.

Soma zaidi source :

 
Wahandisi huwa wanaweka uhandisi pembeni wanafuata siasa
 
Mkuu unauhakika gani anachokisema amekisema bila kupata ushauri wa wataalum wahayo mambo
Ametoa lawama za jumla jumla, for starters sub-contractor afiki site na kujifanyia kazi tu. Anachojenga ni sehemu ya design ya mradi with specification alizopewa na main contractor na kuna mtu ana majukumu ya kuangalia kiwango cha kazi.

Sasa utasemaje sub-contractor anajua kazi kushinda main contractor.

Pili analaumu kutokujengwa kwa majengo ya kupokea umeme, kama unafahamu critical path analysis ya project kuna shughuli hazina ulazima kwanza kama hatua fulani bado azijafikiwa.

Ni hivi alitakiwa kuongea na contractor kwanza kujibuwa hoja zake au ashauriwe kuhusu project management kabla ya kutoa lawama ambazo azieleweki.
 

That last phrase in parentheses presents you as diehard CCM disciple. It’s simply a fallacy. In that context, the entire content can’t be rationalised.

No wonder CCM gangs have so successfully consolidated their relentless rule over this godforsaken land full of ignorants and the gullible chiefly by intrigue.
 
Even a parliament which is pretty much made up of CCM MPs have various committees to scrutinise government business.

I see no wrong in highlighting the V.P shortfalls if he is going to blame people for their work at least show educated knowledge on the matter.

Besides this is a non partisan issue, not that I am a fully subscribed die hard CCM fan. That being said I am entitled to expressing my views independently.
 
Moja ya athari za kutumia sub-contractors wengi bila shaka itakuwa ni kuongeza gharama za mradi na hizi gharama zinabebeshwa walipa kodi masikini wa nchi hii.
Ahaaaa sub-contractors hawakupatana bei na magufuli sasa kwanin utoe lawama kwa sub-contractors.
 
Khy ina maana huyu Mkandarasi ilikuwa ni single source?
 
KIGUGUMIZA KINANIJIA KWA HARAKA SAANA. HIVI WIZARA HAIKUGUNDUA HILO? JE YEYE KAGUNDUAJE? SIFA ALIPATA LINI NA ZIMEYEYUKA LINI?
 
BRT phase 1 ilijengwa na mkandarasi mkuu pekee?
Tuliona wahindi, watanzania na wengineo siyo wajerumani tu.
 
Ndio ujue tunaposema ccm ni chama cha mafisadi tuna maanisha nini!

Alafu toka lini waziri wa fedha akajua mambo ya ujenzi? Nilitarajia useme waziri wa ujenzi na nishati ndio wawajibike!
 
Una uhakika kati ya hao wawili Kalemani ndio amekudanganya
Mkandarasi ametoa sababu za ucheweshaji ambazo zinatokana na majanga yasiyopangwa (disasters) halafu bado unasema ulidanganywa nyie majizi mnashida sana? Hizi siasa uchwara zinawaharibu sana ili mradi sifa ziende kwa kimnyamkera!!
 
Nilidhani ungekuja na proof kwamba Arab contractors wana uzoefu wa kutosha kwa kusimamia miradi AB na C ya same nature na magnitude kama hii na ikakimilika vizuri na pia Sitaki kuamini kuwa mkandarasi mkuu aliajiriwa kama project manager wa huu mradi sasa serikali na mashirika yake yote inafanya nini kama si kula ela za walala hoi bure..
 
Hii nayo yakuangaliwa
 
Mradi mkubwa hivyo ataweza kufanya mwenyewe?hapo lazima kuwe kuna ma subcontractors hata 20 ikiwezekana wote wanasimamiwa na Arab, kwa matamshi ya mtu utajua tuu leadership style
 
BRT phase 1 ilijengwa na mkandarasi mkuu pekee?
Tuliona wahindi, watanzania na wengineo siyo wajerumani tu.
Nadhani ndio nilichosema pia kwenye mradi wa Kinyerezi.

Isitoshe kila mradi ni tofauti na kila contractor anagawa kazi kutokana na uwezo wake depending on various tasks of the project.

Mimi sijafuatilia mradi wa BRT lakini hakuna contractor mwenye wafanyakazi wa full time, so lazima atatafuta mtu wa kumpatia man power hiyo tayari ni definition ya sub-contracting.

Issue hapa ni lawama za V.P kwenye mradi wa Stiglers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…