Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Lengo la mafisadi wa ccm ni kukwamisha sgr ya umeme na ilo bwawa ili michongo ya kifisadi ya mkwere kuhusu gesi aliyo ingia mikataba ya kifisadi ifanikiwe
Unfortunately kama ni kweli itawa cost vibaya sana maana its too late to catch the train
 
Kuwa na ndoto ndio excuse ya kuwanya na kuhalalisha ufisadi? Acha upumbavu kama ni ndoto alianza kuota Nyerere,Bwawa lingejengwa tuu na mtu mwingine na wakati mwingine aliyekwambia ilikuwa lazima lijengwe na Mwendazake nani?
Wewe choko usijifanye kuchukia ufisadi watz wote tunaochukia ufisadi tupo team magufuli na nyinyi mliopo team mkwere ndiyo mafisadi papa
 
Lakini nawaza pia bado kuna uwezekano baada ya JPM kufariki ndo wameanza kufanya huu upuuzi ili kumfanya jiwe aonekane alikua anatudanganya ili wao ndo waonekane bora zaidi wkt kuna uwezekano sio kweli.
Kama kweli urais ni taasisi basi tutashangaza dunia kusema hiki kilichofanyika hakikuwa sawa; kama sivyo, basi kuna shida kwenye katiba yetu na hapo pia tutajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe...JPM ni default ya mageuzi Tanzania...Amefanyika kuwa sadaka iliyo hai; pengine alichokifanya hakujua how to do it good, but his pure intensions are going to supersed the wrong doings kama zilikuwa wrong...

Rest in Power JPM; hata mauti yako Mungu ataiheshimisha...Kufa kwako ilikuwa ni faida na hasara imebaki kwetu tuliobaki japo wengine wanadhani ni bahati...Time is a good friend; God is just and righteous...He is classy no man can be perfect as He is...I am who I am is a true and amen statement
 
mtu kama hana sifa akae pembeni na Takukuru wafanye kazi yao kwanini mtu asiye na sifa amekabidhiwa kazi kubwa namna hii??
Sijui kama umepima madhara yake...Usije ukapima kina cha bahari kwa mguu ndugu yangu...Turekebishe mambo pasipo kunyoosheana vidole au ku play victim...
 
Wewe choko usijifanye kuchukia ufisadi watz wote tunaochukia ufisadi tupo team magufuli na nyinyi mliopo team mkwere ndiyo mafisadi papa
Sasa tutawafukua Ili tuwafikishe kunakohusika,naona kwa sasa mnajitanidi Sana kujaribu kuficha uovu wenu.

Jitu lilijijengea mahekalu kwao kwa pesa za umma eti linachukia Ufisadi pumbavu,muwe mnatafuta wajinga wenzenu ndio wataelewa.
 
Arab Contractor ilibidi ampe kazi..Sinohydro...!
Yaani nilishangaa kusikia Arab Contractor kapewa huo mradi wa kiwango hicho, maana mie mwenyewe niliobahatika kusimamia kazi yao moja ndogo, ya road rehab Botswana,nikiwa kwenye team ya consultant na alitupa wakati mgumu sana ktk usimamizi na kuwa na 'unconvicing reasons for delays' kila mara, hadi kuja kumaliza project kwa viwango vile vilivyokuwa vinahitajika...... Pamoja na yote vilevile mradi kusuasua au kuchelewa, unaweza sababishwa pia na uzembe wa Client kutofanya wajibu wake...... tafakari.
 
Kama kweli urais ni taasisi basi tutashangaza dunia kusema hiki kilichofanyika hakikuwa sawa; kama sivyo, basi kuna shida kwenye katiba yetu na hapo pia tutajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe...JPM ni default ya mageuzi Tanzania...Amefanyika kuwa sadaka iliyo hai; pengine alichokifanya hakujua how to do it good, but his pure intensions are going to supersed the wrong doings kama zilikuwa wrong...

Rest in Power JPM; hata mauti yako Mungu ataiheshimisha...Kufa kwako ilikuwa ni faida na hasara imebaki kwetu tuliobaki japo wengine wanadhani ni bahati...Time is a good friend; God is just and righteous...He is classy no man can be perfect as He is...I am who I am is a true and amen statement
Noted
 
Mkandarasi wa miradi mikubwa kama hiyo anashinda tender kutokana na design yake ya mradi wote kuanzia physical project, ulinzi wa mazingira kama ecosystem, namna ya kuvuta maji and so forth with hydro power project scope.

Anakupa na costs zake za kujenga mradi, work break down structure ya wewe kuweza kufuatilia progress ya mradi kwa makubaliano ya muda wa kazi, etc.

Kazi yenyewe inafanywa na sub-contractors anachosimamia mkandarasi na ku coordinate hatua za kazi, kuangalia quality ya kazi, time, anapanga critical path ya mradi na other supervision roles.

Mtu kama makamu wa raisi awezi kwenda kwenye mradi kama huo bila ya mshauri wa maswala ya project management; hivi mbona tunaviongozi waropokaji halafu wepesi sana vichwani ukiwasikiliza.

Au anadhani huu sawa na miradi wa kujenga barabara. Yaani nchi inaviongozi wa ovyo kweli.
Sasa wewe unayelalamika una uhakika gani kwamba hakwenda na mshauri au hakupata ushauri kuhusu mradi kabla ya kufika huko?

Nina hakika alijadiliana na wataalamu kwa urefu kabla ya ziara yake.
 
Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo

1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila sehemu. Serikali labda ilitaka mkandarasi mkuu afanye kazi zote peke yake, lakini sehemu nyingi ameweka wachina

2. Mkandarasi yupo nyuma ya mpango kazi, na kwamba amechelewa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mafuriko na uvico19. Kauli ambayo Kalemani amekuwa akitudanganya kuwa tupo mbele ya muda na maji yataanza kujazwa Mwezi wa 11 tarehe 15, na kuwasha mitambo June 2022( KAULI AMBAYO NI DHAHIRI ALITUDANGANYA NA ILIKUWA YA KISIASA) Laini Makamu wa Rais ameongea ukweli.

Kutokana na Kauli ya Mh. Makamu wa Rais ni DHAHIRI kuwa Mradi huu hautaweza kukamilika 2022 Wala 2023 Wala 2024 labda 2025.

Mbona kawaida hata uchimbaji wa bandari tanga nasikia walitoa 300Bil, mkandarasi aakwapa tenda wachina kwa 30Bil.

sasa si ujinga wao wenywe.
 
Kwahiyo unatakaje sasa, tuanze upya? Nakuona tu unapotaka kuelekea...
Nadhani anataka kujua ni nani wa kumkamata kwa kosa hili ambalo hata marehemu alikuwa anajua kwa sababu aliambiwa na wataalam wa kitanzania.
 
Nadhani anataka kujua ni nani wa kumkamata kwa kosa hili ambalo hata marehemu alikuwa anajua kwa sababu aliambiwa na wataalam wa kitanzania.
Narudia kama urais ni taasisi basi marehemu as an individual has nothing to do, mkisema siyo basi tunahitaji katiba mpya...Kwisha nifahamu!
 
Mbona hata kabla ya Magufuli kufariki, wahandisi wa Tanzania walitoa kauli ka hii ya Mpango. Hata marehemu aliiambiwa.
Kwahiyo mtu moja akiamua sote tunauzwa basi inakuwa hivyo? Dont scare me please!
 
Baada ya aliyekuwa waziri Kalemani kusema mradi wa bwawa la Julius Nyerere JNHPP wa Megawatts 2115 kutarajiwa kuanza kujazwa November 2021 kuonekana zoezi hilo halitoweza kufanyika, basi tupewe haraka mpangokazi mpya ni lini litaanza kujazwa maji na pia lini mpangokazi mpya unaonesha mradi huo utakamilika.
 
Back
Top Bottom