Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Arab Contractor wana website yao unaweza kwenda kuangalia kazi luluki walizofanya sio kampuni tia maji tia maji.

Contractor anajenga mradi, project management maana yake ni plan ya awali itakayofuatwa kwenye kujenga mradi.

Serikali ni customer wa mradi na yeye anakuwa na wawakilishi TANESCO in this instance wanaofuatilia how the project evolves na kuangalia kiwango cha kazi kama sawa na makubaliano; kama diversification lazima washirikishwe na waafiki na kama kuna delays lazima wajuzwe kwanini and so forth with infracture contracts.
 
Nadhani ndio nilichosema pia kwenye mradi wa Kinyerezi.

Isitoshe kila mradi ni tofauti na kila contractor anagawa kazi kutokana na uwezo wake.

Issue hapa ni lawama za V.P kwenye mradi wa Stiglers.
Mimi nilikuelewa nilikuwa nakazia hoja yako kuonesha mkandarasi mkuu kuwapa subcontractors kazi zote isipokuwa usimamizi siyo kosa au kukosa uzoefu.

Hapa VP angejadili kuwa nje ya timeframe ya task schedule. Napo hii pia tutahoji mkandarasi analipwa pesa kwa wakati?
 
Apparently wanawalipa kwa wakati ila sub-contractors wanacheleweshewa but then inabidi mkandarasi ajiridhishe kwanza.

In short V.P alitakiwa kupata ushauri kwanza au kuwasiliana na main contractor kabla ya kutoa lawama na maagizo.
 


Hawa Egyptian hawakusema wanawapa kazi wachina, it was their project, VP sio blind kuzungungumza aliyozungumza wabanwe kisawasawa waseme ni kwanini kazi wamempa mchina na wao kujeuka madalali.
 
Chukulia wewe ndio architecture umeomba kazi ya kujenga ofisi ya serikali na umeshinda tender.

Pamoja na kwamba serikali inakulipa wewe utatafuta mafundi umeme muda wa kuweka umeme ukifika, mtu wa kuweka tiles, mtu wa kutengeneza land scape, watu wakuweka mabomba ya maji, kupaka rangi etc.

Kwanini kwa sababu wewe as a contractor unapewa kazi kutokana ujuzi wako, na kazi unapata kutokana na kuomba tender. Kwa ivyo kuajiri mafundi watu hao on full time uwalipe mshahara kila mwezi wakati kazi nyingine hujui itakuja lini. Kuna kipindi kirefu utakuwa unalipa watu mishahara huku huna income mwishowe utafilisika.

So as a main contractor bora uuze expertise yako ukipata kazi unatafuta skilled sub contractors tofauti wa kufanya kazi to see your visions through.

Ndio makampuni makubwa yanayojenga infrastructures project yanavyofanya kazi.
 
Mkuu there is nothing wrong in subcontracting parts of the lots for construction hatari na redlight ni pale unapoonekana umesub contract the main and almost the whole job, hapo hata mtoto hawezi kukuelewa.
 
Mkuu there is nothing wrong in subcontracting parts of the lots for construction hatari na redlight ni pale unapoonekana umesub contract the main and almost the whole job, hapo hata mtoto hawezi kukuelewa.
Ujenzi una tasks tofauti na hatua tofauti; moreover kuna makampuni locally yanavitendea kazi na proffesionals wa kujenga some tasks so your better off using them.

Muhimu kwa client ni kupata mradi wake ndani ya muda na kwa kiwango walichokubaliana how one execute that mission is up to them.
 
Wewe ni the PushGang una maslahi 😂
 
Ange goma kuwapa mradi na fedhs alikuwa mzee wa Mipango wakati ule
 
Wewe ni the PushGang una maslahi 😂
Hapana ni uhalisia tu wa miradi mikubwa client na contractor makubaliano yapo kwenye Project Initiating Documents.

Mmoja anajua analipia nini na mwingine anajua anatakiwa kutengeza nini; hayo ndio makubaliano. Sasa mtu anamtumia nani kufanya hiyo kazi sio shida ya client.
 
Mh iyo kauli ya kusema tulidanganywa
 
"Aswan Dam" imejengwa na haohao ARAB CONTRACTORS tena miaka ya 1960...... Serikali ya awamu ya 5 haikukosea......
Ilikosea sana brother hiyo ASWAN DAM unayoishadadia hapa ilijengwa na MRUSI wao walikuwa vibarua tu wabeba zege. Na hilo wala halihitaji nguvu nyingi kulitetea kama yeye kweli anajua hiyo kazi kwanini ampe Mchina zaidi ya asilimia 75 kama si Mchina awamu ya 5 wangeaibika sana kama anavyoaibika huyo Kalemani. Mchina pamoja na kuchapa kazi kotee ndio kwanza ukuta hata nusu haujafika,huyoMwarabu sasa na hiyo POWER HOUSE swala tano bado kabisa hapo hujataja SWITCH YARD kituo utakapokuwa unafikia umeme kabla ya kuingia kwenye gridi ya taifa,na ukuta wa hilo bwawa je hata robo bado huko Saddle Dam endelea kushabikia mambo usiyoyajua.
 
Ndo madhara ya single source, mfumo wa manunuzi wa magufuli
 
Wanatuandaa kisaikolojia kuwa Hilo bwawa huenda ndo mwisho wake watuletee mitambo ya simbion na IPTL, Ahsante Sana January makamba mpango wetu umeanza kukamilika mmewazid kete hao jamaa, akina Mpango na maushungi
 
Wewe ndo hujui kitu ni zero brain. Imebaki siku 14 kumaliza mwezi huu. Kule Bwawani bado Wana chimbua na magreda. Wakati sasaivi ilitakiwa awe kwenye finishing
Kwan aliyesema ndio waziri aliyepo?
Unatumia nin kufikir..
Unademand January atekelez mipango ya adui yake
 
Alipataje hiyo kazi sasa?
 
Mkuu kuna shida. Subletting uwa ina limit. In a single contract subletting like ile ya Bwawa subletting is not supposed to be more than 25% of work. Ingelikuwa ni management contract ingelikuwa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…