Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Arab Contractor wana website yao unaweza kwenda kuangalia kazi luluki walizofanya sio kampuni tia maji tia maji.Nilidhani ungekuja na proof kwamba Arab contractors wana uzoefu wa kutosha kwa kusimamia miradi AB na C ya same nature na magnitude kama hii na ikakimilika vizuri na pia Sitaki kuamini kuwa mkandarasi mkuu aliajiriwa kama project manager wa huu mradi sasa serikali na mashirika yake yote inafanya nini kama si kula ela za walala hoi bure..
Contractor anajenga mradi, project management maana yake ni plan ya awali itakayofuatwa kwenye kujenga mradi.
Serikali ni customer wa mradi na yeye anakuwa na wawakilishi TANESCO in this instance wanaofuatilia how the project evolves na kuangalia kiwango cha kazi kama sawa na makubaliano; kama diversification lazima washirikishwe na waafiki na kama kuna delays lazima wajuzwe kwanini and so forth with infracture contracts.