Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Moja ya athari za kutumia sub-contractors wengi bila shaka itakuwa ni kuongeza gharama za mradi na hizi gharama zinabebeshwa walipa kodi masikini wa nchi hii.
 
Nyie ndugu, kwahiyo hata clip zoote zinazofanya kazi mtazikana?
Daah kweli kuna viumbe hamna haya...

Mlianza ooh mchoro ni wa zamani akazipangua hayati; sasa mmekuja na story zingine siyo? Karne hii kweli mtudanganye watu na akili zetu?

Mashimo mnayochimba mtatumbukia wenyewe, kumbukeni mbele ya safari the back stops with you guys and you will be accountable for all!
 
Atakuwa ameambiwa na wasaidizi wake na si kama ameropoka tu.Jiwe hayupo sasa watu wako huru kukosoa madudu yake.
 
Clip zinahusikaje na mada?
 
Ipo sana hii
 
Atakuwa ameambiwa na wasaidizi wake na si kama ameropoka tu.Jiwe hayupo sasa watu wako huru kukosoa madudu yake.
Miradi mikubwa aijengwi na architecture mwenyewe; sub contractors ndio wanafanya kazi.

Labda kwa sababu hatuna uzoefu wa miradi mikubwa; kinyerezi power plant nadhani ni Germany design sasa ule mradi umejengwa na wajerumani wenyewe au subcontractors na kusimamia na ma-engineer wa kitanzania.

Ungelikuwa mradi wa wachina ungewaona wao tu.
 
Hayo maneno ya Makamu wa Rais yanaweza Leta shida ya kidiplomasia na watu wa Misri, hawatapenda kuzaraulika
 
Hayo maneno ya Makamu wa Rais yanaweza Leta shida ya kidiplomasia na watu wa Misri, hawatapenda kuzaraulika
Wala sidhani if anything wanajifunza kwanini sisi ni nchi maskini kama mtu aliekuwa anasimamia uchumi wetu hana ata abc za project management hana.
 

Hawa viongozi waropokaji na wepesi kichwani unamjumuisha unayempambania humu kila siku kama zuzu (nikiazima lugha ya Prof Assad)
 
Chamliho Na Kalemani
Kwahiyo Walikuwa Wanatuuzia Maneno Matamu Matamu Utekelezaji Miradi 0. Tutalala Nao Mbele, Yaani V P Ndiyo Anaamua Kufanya Ile Kauli Maarufu "Nyani Katema Bungo"
 
Hawa viongozi waropokaji na wepesi kichwani unamjumuisha unayempambania humu kila siku kama zuzu (nikiazima lugha ya Prof Assad)
Labda kama ulikuwa unisomi humu wakati yupo hai kuna vitu nilikuwa naponda kila siku; vingi tu.

Mie sio mfuasi wa mtu sana bali ideas, na maslahi yangu mapana. Kuna mambo serikali ikifanya yana positive direct and indirect impact kwangu; alikadhalika kuna mengine yana negative consequences too.

So nasimama na yaliyo positive kwangu na kwa jamii kwa upana wake; mtu sina tabia ya kuabudu.
 
Kwani nchi iko na tatizo na uhaba wa umeme kipindi hiki cha kusubiria kukamilika kwa huo mradi?!!
 

 
Sawa hana uzoefu kwahiyo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…