Inshu sio kulipa kodi bali ni matumizi ya hizo kodi!!mnakamuliwa kweli kulipa kodi, kesho mnasikia jamaa wamezipiga inaundwa tume, unaambiwa pesa zilitumika nje ya bajeti!!tayari limeisha hilo!!kwanini wazungu kitendo cha kukwepa kodi anaona ni kama aibu kwake?!!ila kwetu ni sifa?Mjenga nchi ni mwananchi tulipe kodi.
Mwendazake alikuwa mwongo mwongo sana"Kukopa kwa wingi huku tukisema tunatumia hela za ndani + ukwapuaji wa hela za watu benki kwa kutumia mtutu"
Unataka Mwigulu aturudishe huku?
Inshu sio kulipa kodi bali ni matumizi ya hizo kodi!!mnakamuliwa kweli kulipa kodi, kesho mnasikia jamaa wamezipiga inaundwa tume, unaambiwa pesa zilitumika nje ya bajeti!!tayari limeisha hilo!!kwanini wazungu kitendo cha kukwepa kodi anaona ni kama aibu kwake?!!ila kwetu ni sifa?
Muamala wa mkopo wa benki umeshakata ndugu.Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania ,kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu, muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa lazima kisingizio mnasema miladi huo ni UJINGA huo uchumi gani mliosomea huo ondoeni kodi kwenye mafuta na miamala ya simu.
Mpango sawa na mwigulu ni bookish intellectual hawana ubunifu wowote sijui kwanin watu huwa wanawasifia sanareport za deni la Taifa ambazo zinasomwa kila siku wewe huwa husikilizi Magufuli alikuta deni la Taifa ni 35T ndani ya miaka yake 5 hafi anafariki lilikuwa 60T huku Kikwete kwa miaka yake 10 alikopa 25T tu.
Maana yake ni huyo Mpango anayemsifia kazi yake ilikuwa ni kukopa
Unataka tena Watu wafiche hela zao uvunguni?
Ngoja kwanza warudishe zile walizotoa TRA kimakosa kwenye akaunti za kina Mbowe. Nadhani umenielewa ni wapi alikuwa anatoa