Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

Hivi unafikiri makamu wa Rais ni meneja wa baa..Tafuta namba ya ofisi yake ,umwambie
Makamu wa Raisi ni mtumishi wetu tunamlipa Mishahara sisi maboss wake tunasema aniuziru kwa kushiriki au kuhusishwa kushiriki uhalifu,

historia inasema kaisari alimwacha mke wake kwa kusingiziwa uongo
 
inafikirisha sana. Tunamtaka ajisafishe mimi naamini Ole Sabaya anatafuta pa kutokea. Mambo yamemwia magumu sana.

..aende mahakamani akatoe ushahidi.

..ametajwa mahakamani, hivyo aende hukohuko akathibitishe au kukanusha.
 
Makamu wa Raisi ni mtumishi wetu tunamlipa Mishahara sisi maboss wake tunasema aniuziru kwa kushiriki au kuhusishwa kushiriki uhalifu,

historia inasema kaisari alimwacha mke wake kwa kusingiziwa uongo
Labda sio bongo
Kama hawajakwambia Huyo makamu Wa rais akikutana na waziri Wa fedha Wa kipindi cha mwendazake basi wataweza kutoana ngeu
Wanaamanisha ni watu wawili tofauti
 
Kifupi tu,utetezi wa Aliyekuwa DC Bwana Sabaya kumhusisha Mh.Makamu wa Rais bila woga wala kificho,moja kwa moja kumeshamuharibia sifa kiongozi huyu wa juu kabisa nchini.ILI KULINDA HESHIMA YAKE MBELE YA WATANZANIA NA ULIMWENGU NI BORA AKAJIUZULU.
Rais MSTAAFU Mzee Mwinyi ALIJIUZULU japo HAKUTAJWA ila Aliwajibika kwa Walioyatenda Wasaidizi Wake na Hakuchafuka Akawa Rais Wa Zanzibar na Tanzania
Namshauri Mpango kule KUTAJWA tu na Mtuhumiwa wa Kutesa Watu Angejiuzulu sio Busara kuwa Kiongozi ulitajwa kushiriki Kutesa Unaowaongoza

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kuamini mchamungu kama anaweza Fanya huo utoto mpango mchamungu kwelikweli
 
mbona unafundisha watu kufanya interpretation mamlaka ya uteuzi si JPM? Kazi ya Dc ni kufanya operation za kukamata watu? polisi wanafanya kazi gani?
Soma uelewe hoja yangu. Kwahiyo Prof. Luoga, Dr. Mpango na Kihongosi walimteua Sabaya?
 
Sabaya amesema alipopokea maelekezo ya kwenda Arusha aliambiwa aungane na watu wengine wanne waliokuwa KIA. Hao watu hawajashitakiwa. Ni akina nani hao? Kwanini hawajashitakiwa? Kwani ni uongo kuwa watuhumiwa walipelekwa kituo cha polisi?
 
Mpango hawezi kujibu KWA Sasa ,maana anapigiwa vingora, ila all in all Sayabaya kajibu kuboya Sana,

Kama sio kiboya, basi akaonyeshe maandishi wapi alitumwa, alafu alete Cheti Cha milembe Kama alitumwa akiwa kichaa , SABAYA MWANAHARAM
 
WENDA alishiriki sipingi ila kwa ushahidi upi?
 
Hiyo ni timu moja na walikuwa wanafanya kazi pamoja na Sabaya, kuna mkubwa wao hajatajwa hapo nafikiri ni kwa kuogopa tu...bi mkubwa.
 
Jambazi ameamua kuweka wazi kuwa huu ujambazi aliofanya Arusha alikua anashirikiana na Magufuli na Mpango full stop.
Ni kweli amesema aliagizwa na mamlaka iliyomteua, that means presidency. Presidency ni taasisi, ila ilikuwa chini ya Magufuli at the time. Kwahiyo tunaweza kukubaliana kuwa alitumwa na Magufuli kwa maana ya kuwa Magufuli ndiyo alikuwa President wakati huo.

Hakuna sehemu Sabaya amesema aliagizwa na Dr. Philip Mpango na au Prof. Luoga. Hawa ametoa mfano kuwa wanajua alikuwa anatumiwa kufanya kazi maalum nje ya eneo lake la kazi kwa mfano kwenye operesheni ya kukamata mitambo iliyokuwa inafyatua fedha bandia huko Dar es Salaam.

Hapa ndipo mnapopotosha.
 
Wana Lumumba wanasemaje,,, Legasi inaharibiwa hvo wao wanaangalia tu...

Mpango wa sanamu vip?
 
Afadhali yako ww unajua kusoma na kusikiliza neno kwa neno, siyo kama huyu mbumbumbu asiyeweza hata kuwa makini kusikiliza au kusoma, na anakurupuka kueneza umbumbumbu wake!
Umeshamuona Dr. Mpango ni kizuizi kwa agenda yenu nini ndio mmeanza kumsakama! Mnayo gundu maana position aliyonayo siyo ya kuchafuka kirahisi 😜!
 
Afadhali yako ww unajua kusoma na kusikiliza neno kwa neno, siyo kama huyu mbumbumbu asiyeweza hata kuwa makini kusikiliza au kusoma, na anakurupuka kueneza umbumbumbu wake!
Umeshamuona Dr. Mpango ni kizuizi kwa agenda yenu nini ndio mmeanza kumsakama! Mnayo gundu maana position aliyonayo siyo ya kuchafuka kirahisi 😜!
 
Mbona mnachanganya Habari, sabaya hamusema kutumwa kupora pesa Bali aliwakamata watuhumiwa na kuwakabidhi polisi.
Nyinyi mmekaa kupotosha tu,pia alipokwenda kukamata wale WA noti fake pia alitoa taarifa kwa mamlaka ha uteuzi saba u mama mkuu WA wilaya hawezi kutoka kituo chake cha kazi Vila idhini ha mkuu wake WA kazi.

Miami nawashangaa wale mnaotaka kulipiza kisasi Misa tu mbowe alipigwa chini ubunge.
 
Mpango ajiuzulu haraka sana , ukiona kiongozi anajifanya Mcha Mungu huku kazungukwa na matunguli muogope sana
Mlokole principally ni mwenye dhambi alie kubuhu, vilio vyao makanisani ni kujuta madhambi yao na kusikitika juu ya hukumu wakifa. Magufuli alikuwa m - RC, kuomba aombewe mara kwa mara nyuma ya maombi hayo kulikuwa na tanuru la moto.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…