Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

Hoo Magufuli anaua watu sana!

Katika haya matukio simsikii Bagonza wala wanaharakayi wenzie wakisemea.
Mauaji yaliyoendeshwa na huyo,vyombo vya habari ilikuwa mwiko kuandika. Ukijidai usikii ya Azory yanakukumba.
 
Mnoo... huwezi amini tangu March mwaka jana hadi hivi ninavyoongea nna vi dili vyangu huko bongo nimeingiza 240M... kwa yule kichaa isingewezekana.

To be honest tunapumua hasa wa ile kanda tengwa.
Huna lolote jitu zima limekalia chai
 
IGP wa maofisa saba wanaoshikiliwa kwa Mauaji akomeshe maauaji yanayoendelea nchini, how can it be possible, polisi wanaoshikiliwa, kutuhumiwa, wazurumaji, watesaji leo hii wakakomeshe mauji hebu jamani nielewesheni, inawezekanaje wao wakakomesha au ndo Mchawi mpe mwana alee!!!
 
Why Dodoma Pekee ?

Hili hali ya Uharifu ni nchi nzima kwanini wasifanye uchunguzi ?

Na kama mpaka wakumbushwe basi kazi imewashinda...
Mkuu Dr kaagiza nchi nzima msako ufanywe si Ddm peke yake.
 
Kubali kuwa huyo kafa kama alivyokufa Nyerere na ndugu zako...

Sasa ni zama za CHUI JIKE
Hili jina Samia ndiyo kalipatia kweli, limelipiku na la Chief Hangaya!

"Chui Jike", dah!

Nami sasa nitaanza kumuita aka hiyo.
 
Huwa sielewi huu utaratibu wa viongozi wa kisiasa kutoa idadi ya siku kufanikisha mambo ya kitaalamu.Wanajuaje kama siku saba zinatosha? Na kwanini iwe siku saba sio sita au nane?
 
Hv huo uchunguzi unafanywa na nan au mapolisi wenyew wananchunguza
 
Kwanini jeshi la polisi lina andamwa na kashfa za mauaji sana?
Mungu Mwenyezi kaamua kwa baraka zake kuwaumbua waovu washika silaha za kutekeleza mauaji ama wafadhili wao, wote wanawekwa peupe sasa.

Dhima ya kushughulika na masuala ya usalama wa wananchi kisheria ipo mikononi mwa Polisi, kimsingi ndiyo wa kulaumiwa.

Sasa mauaji yote haya yanavyotokea nchini polisi ipo kimya, sasa nani alaumiwe.

Halafu ninacho shangaa Igp yupo tu kang'ang'ania kiti badala ya kwajibika ama kufukuzwa kabisa!

Masuala ya uwajibikaji yanapofika, wakubwa wanalindana sana.

kwa kulindana kwao huko wanaikanyaga katiba walioapa kuilinda.
 
Mnoo... huwezi amini tangu March mwaka jana hadi hivi ninavyoongea nna vi dili vyangu huko bongo nimeingiza 240M... kwa yule kichaa isingewezekana.

To be honest tunapumua hasa wa ile kanda tengwa.
Maavi ya mbwa.

Hata nyinyi wauza makalio mnaingiza hela ila sio kiasi hicho.
 
Mnoo... huwezi amini tangu March mwaka jana hadi hivi ninavyoongea nna vi dili vyangu huko bongo nimeingiza 240M... kwa yule kichaa isingewezekana.

To be honest tunapumua hasa wa ile kanda tengwa.
Acha uongo wew kwa kazi gani unayoifanya mbon unajimwambafai san hata hela huna mbwembwe tu hamna lolote
 
Damu ya yule mtu haiwezi kutuacha salama, tubuni! Pia malizieni lile bwawa haraka kama redemption
 
 
Nimetafakari sana namna watu wanavyojazwa khofu kubwa kwa sasa, mauaji ni mengi sana kila kona ya nchi yapo yanayoropitiwa kimkakati na mengine hayaripotiwi kimkakati, naomba kufahamu kwanini tunajazana khofu kwa kutoa uhai wa watu wetu?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…