Dkt. Msukuma amkosoa Godwin Kunambi kwa kujenga hoteli na Soko la Ndugai, miradi ya hasara tupu!

Stendi nyingi hazitakuja rudisha gharama zilizojengewa..

Stendi ya Mbezi pekee ndo itarudisha pesa mapema kabla ya wakati
Kumbe Stendi zimejengwa kuleta Faida???
Mimi ninachojua siyo kila uwekezaji umelenga kuleta Faida, kuna Bustani zina Faida gani, Mnara wa Askari pale Dar na miji Mingine ina faida gani? Mnara wa saa una faida Gani??
Anyway kwakuwa mmeamua kutumia akili za Msukuma ngoja Wajinga tukae kimia
 
Maajabu yake ni 5 Star Hotel,Mwanza nzima hakuna [emoji16][emoji16]
5star ...unazijua five star au unazisikia tu ...Ile inatarajiwa kuwa 3 star .. dodoma nzima ndo hotel ya kwanza kuwa na nyota 3 na ndoo maana haina return Kwa sababu dodoma haina uwezo wa kuafford hotel high class...angalia morena hotel ilivyochakaa sa hv .. kaangalie dodoma hotel ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nazijua mojawapo ni Dodoma City Hotel,Mwanza hakuna
 
Soko au hoteli inahitaji long term plan gani? Hizo zinataka kujengwa na kuleta tija kuanzia mda huo huo
Mzee wa wapi wewe? Miji inakua. Mnakataa kitu mtakachofanya kwa gharama kubwa baadae.

Masoud Kipanya week hii alikuwa na katuni ya vilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Iss
Ila ile stend ya dodoma daaah ni hasara labda itafaa miaka 100 ujayo unaingia stend unakuta mabasi 8
Issue kubwa kuliko zote ni usumbufu Kwa WanaNchi kufika kwenye hizo stand za Michongo
 
Jua watu wanaishi Sasa na Sio baadae, Hivyo kinachosanifiwa Sasa kizingatie uhalisia WA sasa
 
Jua watu wanaishi Sasa na Sio baadae, Hivyo kinachosanifiwa Sasa kizingatie uhalisia WA sasa
Sasa ni nini? Leo, kesho, keshokutwa, Mwaka kesho, Mwaka keshokutwa?
Ninyi mnaaibisha elimu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…