hujui chochote sikujibuKUTENGENEZA maumivu Kwa wanyama yasiyo na lazima. Hatakama heleni zingekuwepo tangu mbinguni, Sasa zinasaidia Nini, maana kama nikuibiwa ng'ombe anatoroshwa ata kama ni mchana kweupee.
Unahoji hata juu la hilo? Kanda ya Ziwa, wengi hawajui Kiswahili sanifu, na wengine hawafahamu kabisa Kiswahili. Ni kanda ambayo wengi wao muda mwingi huongea lugha zao za makabila, na hivyo kuwa na weledi mdogo kwenye Lugha ya Kiswahili. Tatizo hilo lipo kwa ndugu zangu wasukuma, na hata wahaya. Makabila yote ambayo muda mwingi wanaongea lugha za makabila yao, huwa wana tatizo katika kufahamu vizuri lugha ya Kiswahili. Usukumani mpaka leo, ndiyo sehemu pekee ambayo unaweza kwenda vijijini ukawakuta watu ambao hawajui kabisa lugha ya Kiswahili, yaani hata kile tunachokiita Kiswahili kibovu, hakuna. Huko ndiko nilishuhudia wakati wa mkutano na wananchi akatakiwa kupatikana mkalimani anayekifahamu Kisukuma na Kiswahili. Kwa sababu bila ya kufanya hivyo, wapo ambao hawatakuelewa unaongea nini. Na wao wakitaka kukuuliza, wanakuuliza kwa Kisukuma ambacho na wewe hufahamu.Ng'ombe zangu au ng'ombe wangu?
Kuutambua mfugo ili ulipiwe Kodi.
Ulikuwa umeshachukua mkopo ili kama kianzio Cha kupiga Dili Hilo Nini, pole nduguuu.hujui chochote sikujibu
Hapana mkuu, ila nimekuwa miaka ya 80, ng'ombewa chuo flani waliokuwa jirani na makazi yetu nilikuwa nawaona wakiwa na hizo hereniUlikuwa umeshachukua mkopo ili kama kianzio Cha kupiga Dili Hilo Nini, pole nduguuu.
wanapendeza
Mimi naona imefika wakati Bunge liondoke lifutwe tufanye mambo mengine: Wabunge hawa hawa ndio waliopitisha Sheria ya utambuzi, wabunge hawahawa ndio walioandika na kuinadi Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025 ------ fungua Ilani Sura II uk 49 kifungu 40 (xi). sijui waanasimamia Ilani ipi
Kama mihuri na bangili vimeshindwa kuiua, hiyo hereni ina kipi cha ziada?Elimu ni kitu cha thamani sana!
Hata kama ni Hoja basi ijengwe kwa uzito
Suala hapa siyo Hereni
Suala ni Utambuzi wa Mifugo.
Hereni ni Device bora kati ya Njia nyingi ikiwapo hiyo ya ya kizamani ya kuchoma ngozi kwa chuma cha Moto.
Lakini Ukisikia Mbunge anapinga Utambuzi basi nyuma yake kuna WAHAKUFU WA MIFUGO WASIOTAKA KAZI YAO IFE.
Wezi wa Mifugo wanapinga hili Zoezi kwa Nguvu zote!
Wanajua ikitokea limefanikiwa biashara yao imekufa!
Hilo ndo kubwa wala hakuna issue yoyote na watu hao ni wachache sana ila wana Nguvu.
Havina tijaaa, upigajii tuuu. Hatutaki, weka wa kwakooHapana mkuu, ila nimekuwa miaka ya 80, ng'ombewa chuo flani waliokuwa jirani na makazi yetu nilikuwa nawaona wakiwa na hizo hereni
Changia mada usiruke km kichaaUnahoji hata juu la hilo? Kanda ya Ziwa, wengi hawajui Kiswahili sanifu, na wengine hawafahamu kabisa Kiswahili. Ni kanda ambayo wengi wao muda mwingi huongea lugha zao za makabila, na hivyo kuwa na weledi mdogo kwenye Lugha ya Kiswahili. Tatizo hilo lipo kwa ndugu zangu wasukuma, na hata wahaya. Makabila yote ambayo muda mwingi wanaongea lugha za makabila yao, huwa wana tatizo katika kufahamu vizuri lugha ya Kiswahili. Usukumani mpaka leo, ndiyo sehemu pekee ambayo unaweza kwenda vijijini ukawakuta watu ambao hawajui kabisa lugha ya Kiswahili, yaani hata kile tunachokiita Kiswahili kibovu, hakuna. Huko ndiko nilishuhudia wakati wa mkutano na wananchi akatakiwa kupatikana mkalimani anayekifahamu Kisukuma na Kiswahili. Kwa sababu bila ya kufanya hivyo, wapo ambao hawatakuelewa unaongea nini. Na wao wakitaka kukuuliza, wanakuuliza kwa Kisukuma ambacho na wewe hufahamu.
Huko ndiko utaulizwa, 'ulikwendako? Utarudipo?'.
Kiswahili sanifu ni:
Ng'ombe hawa, siyo ng'ombe hizi.
Ng'ombe wangu, siyo ng'ombe zsngu.
Kuku wangu, siyo kuku zangu.
Mbuzi wale, siyo mbuzi zile.
Mama wangu na sio mama yangu.Kaka wake na sio kaka yake.Unahoji hata juu la hilo? Kanda ya Ziwa, wengi hawajui Kiswahili sanifu, na wengine hawafahamu kabisa Kiswahili. Ni kanda ambayo wengi wao muda mwingi huongea lugha zao za makabila, na hivyo kuwa na weledi mdogo kwenye Lugha ya Kiswahili. Tatizo hilo lipo kwa ndugu zangu wasukuma, na hata wahaya. Makabila yote ambayo muda mwingi wanaongea lugha za makabila yao, huwa wana tatizo katika kufahamu vizuri lugha ya Kiswahili. Usukumani mpaka leo, ndiyo sehemu pekee ambayo unaweza kwenda vijijini ukawakuta watu ambao hawajui kabisa lugha ya Kiswahili, yaani hata kile tunachokiita Kiswahili kibovu, hakuna. Huko ndiko nilishuhudia wakati wa mkutano na wananchi akatakiwa kupatikana mkalimani anayekifahamu Kisukuma na Kiswahili. Kwa sababu bila ya kufanya hivyo, wapo ambao hawatakuelewa unaongea nini. Na wao wakitaka kukuuliza, wanakuuliza kwa Kisukuma ambacho na wewe hufahamu.
Huko ndiko utaulizwa, 'ulikwendako? Utarudipo?'.
Kiswahili sanifu ni:
Ng'ombe hawa, siyo ng'ombe hizi.
Ng'ombe wangu, siyo ng'ombe zsngu.
Kuku wangu, siyo kuku zangu.
Mbuzi wale, siyo mbuzi zile.
Elimu ni kitu cha thamani sana!
Hata kama ni Hoja basi ijengwe kwa uzito
Suala hapa siyo Hereni
Suala ni Utambuzi wa Mifugo.
Hereni ni Device bora kati ya Njia nyingi ikiwapo hiyo ya ya kizamani ya kuchoma ngozi kwa chuma cha Moto.
Lakini Ukisikia Mbunge anapinga Utambuzi basi nyuma yake kuna WAHAKUFU WA MIFUGO WASIOTAKA KAZI YAO IFE.
Wezi wa Mifugo wanapinga hili Zoezi kwa Nguvu zote!
Wanajua ikitokea limefanikiwa biashara yao imekufa!
Hilo ndo kubwa wala hakuna issue yoyote na watu hao ni wachache sana ila wana Nguvu.
Uko nje ya maada, Maada inahusu heleni, kama vipi anzisha post mpta tujadili maneno sahihi ya kiswahiliNg'ombe zangu au ng'ombe wangu?
Maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi.Uko nje ya maada, Maada inahusu heleni, kama vipi anzisha post mpta tujadili maneno sahihi ya kiswahili
Ng'ombe wawekewe chip wawe tracked kwa GPS.Tracking purpose...