Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

Mkuu gari INA plate number na inaibiwa icho kiplastic hata kwa mkono kinatoka hapo ni mradi wa MTU waseme tuweke wenyewe
 
Report ya CAG wanaanza kuijadili lini?

Ova
 
Hereni zinazuiaje wizi wa mifugo? Mtu akiiba si anaitoa tu na kuweka hereni nyingine?
 
Waweke microchip sikioni ILI kuwa track ki electronic!!
Ndio kazi ya hereni hizo,ni kufanya tracking pale mifugo ilipo,na katika hili mbona selikali imelitolea ufafanuzi mwingi ila Kuna wabunge wanataka sifa tu,na wakati walishalipitisha katika bunge lilipita na kuanza matumizi yake,ila Kuna baadhi ya changamoto ilijitokeza wakati WA utekelezaji wake ndio maana selikali ililisimamisha kwa muda , ila sio jambo jipya hili bungeni

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…