Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

Amtafute Adv Kibatala😅
 
Perfect
 
Wadada wanatutukana wakataa ndoa nawaona wapo kwenye huu uzi wamejazana na comments zao , zimetupa majibu ya mioyo yao kuhusu swala zima la ndoa ,ewe kijana kataa ndoa , kwani ukiwachakata bla kufunga ndoa utapungukiwa na nin?
 
Mama kashasema kitu alichofanywa na Mwaka kikamkosesha amani ya moyo?

Hebu kileteni hapa tukipime kama kweli hicho anachosema ndio kinamkosesha amani ya moyo kweli au tunapigwa kamba?
Hujacheki video zake?kasema mwaka anamtumia adi majeneza yamejaa njiwa,we ungependa?tafuta hizo video ziko instagram huko
 
Baba angu kila mara huniambia "mambo ya watu wanaoongea wakiwa uchi halafu wewe unaenda kushauri umekaa nguo, lolote laweza kukupata dhidi yao. Aidha wakielewana utatafuta pa kujificha, wasipoelewana utaonekana mchochezi upande mmoja na wakiumizana utaonekana ndio chanzo."
 
Na ndio huwa ipo hivyo mkuu.
 
Kiukweli hakuna shida ameamua kusaliti ndoa kufuata mfadhili. Nilikua najaribu kuweka nadharia kwamba jeuri ya kuondoka na kuacha kila kitu haiwezekani bila ya uwepo wa mtu anaemrubuni!
 
ukiitazama sura yake nagundua mama ana mambo mengi ameyapitia na yanamuumiza sana.. Dr. Mwaka amejivua nguo mwenyewe kwenye hili sakata..
Mkuu maono yako yanahitajika kule pm
 
Hao jamaa mindhali wamezaa hao ni ndugu,hivyo hatushauriwi kuingilia ugomvi wa wanandugu yao watayamaliza kwani hakuna linalokosa mwisho

Hakuna jambo lililokosa sababu ila kuwa na mashiko au kutokuwa inategemea na wewe unavyolipokea...huyo mama alitoa sababu za kuomba talaka,moja wapo akimtuhumu mumewe kutokumuhudumia kwa kipindi cha mwaka mzima,kwake yeye ni sababu tosha hivyo asibezwe.Mtuhumiwa hakujibu hilo na ni haki yake kukaa kimya ila tunamsemo kuwa kimya pia ni jibu la ndio

Mambo yao yalipokuwa matamu mume alikuwa anampeleka mke kwenye media na hata yalipochacha mume alionekana kwenye media akimjibu mke.....sasa inakuwaje ashambuliwe mke pekee kwa kukimbilia kwenye media ilhali ndo maisha aliyozoeshwa na mumewe

Wengine wanamlaumu mke kuwa mbinafsi kwa kufuata moyo wake unqpomuelekeza na jee jamaa alietekeleza familia kwa kipindi hicho wakati nafasi na uwezo wa kuwa na kuihudumia familia alikuwa nao nae tumuitaje
Hayo ni yao wana ndugu watayamaliza kikubwa tuwaombee wayamalize bila kuacha athari mbaya kwa vizazi vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…