Sio mwanamke tu, hata mwanaume hafai kufanya adui yako.
Yani nyie mguswe na situation ya familia yake, then mumpatie laana? Hakuna kitu kama hicho.
Halafu mkuu, ugomvi unaohusu mahusiano ya kimapenzi sio wa kuuingilia kichwa kichwa. Achana na haya wanayosema hadharani, kunakuwaga na mengi sana behind the scene. Watu ambao walikuwa wanalala uchi pamoja, kwa muda mrefu, leo wanageuka maadui, halafu wewe mtu Baki unakuja na simple explanation.? Acha kuweka conclusion kwenye kitu ambacho hujui mwanzo ni upi.