Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

Mama kama hao watu wenu wa BAKWATA wameshindwa, sasa tafuta lawyer mzuri nenda mahakamani ukadai talaka, talaka sio kitu kigumu sana kutoka na mahakama ina nguvu kuliko hao masheikh wanaowaamulia mambo, kama huna kela anzisha gofund hata mimi nitakuchangia za kumlipa lawyer
Amtafute Adv Kibatala😅
 
Mkuu hilo ni kweli kabisa ndio maana inashauriwa usiingilie mambo ya ndoa na tena usije ukatoa ukashauri kwa watu walio kwenye ndoa waachane||ama waendelee,kwa sababu NI WAO WAWILI TU NDIO WANAOJUA KINACHOENDELEA KWENYE HIYO NDOA YAO!!!!Dr.Mwaka and so called his wife WANAJUA WANACHOTAKIWA KUFANYA kwa sababu mbona mambo yao yalipokuwa mazuri hawakuwashirikisha watu[emoji41]??Kwa nini wakati huu wanawashirikisha watu??Kuna namna nyingi za kufanya divorce settlement bila haya makelele,watumie njia hizo ili wabakie wazazi wema kwa watoto wao lakini all in all kutoa ama kuomba TALAKA ni UBINAFSI TU kwa kuwa wanaoumia the most ni WATOTO HAPO!!!!

END

Sent using Jamii Forums mobile app
Perfect
 
Wadada wanatutukana wakataa ndoa nawaona wapo kwenye huu uzi wamejazana na comments zao , zimetupa majibu ya mioyo yao kuhusu swala zima la ndoa ,ewe kijana kataa ndoa , kwani ukiwachakata bla kufunga ndoa utapungukiwa na nin?
 
Mama kashasema kitu alichofanywa na Mwaka kikamkosesha amani ya moyo?

Hebu kileteni hapa tukipime kama kweli hicho anachosema ndio kinamkosesha amani ya moyo kweli au tunapigwa kamba?
Hujacheki video zake?kasema mwaka anamtumia adi majeneza yamejaa njiwa,we ungependa?tafuta hizo video ziko instagram huko
 
Sio mwanamke tu, hata mwanaume hafai kufanya adui yako.

Yani nyie mguswe na situation ya familia yake, then mumpatie laana? Hakuna kitu kama hicho.

Halafu mkuu, ugomvi unaohusu mahusiano ya kimapenzi sio wa kuuingilia kichwa kichwa. Achana na haya wanayosema hadharani, kunakuwaga na mengi sana behind the scene. Watu ambao walikuwa wanalala uchi pamoja, kwa muda mrefu, leo wanageuka maadui, halafu wewe mtu Baki unakuja na simple explanation.? Acha kuweka conclusion kwenye kitu ambacho hujui mwanzo ni upi.
Baba angu kila mara huniambia "mambo ya watu wanaoongea wakiwa uchi halafu wewe unaenda kushauri umekaa nguo, lolote laweza kukupata dhidi yao. Aidha wakielewana utatafuta pa kujificha, wasipoelewana utaonekana mchochezi upande mmoja na wakiumizana utaonekana ndio chanzo."
 
Baba angu kila mara huniambia "mambo ya watu wanaoongea wakiwa uchi halafu wewe unaenda kushauri umekaa nguo, lolote laweza kukupata dhidi yao. Aidha wakielewana utatafuta pa kujificha, wasipoelewana utaonekana mchochezi upande mmoja na wakiumizana utaonekana ndio chanzo."
Na ndio huwa ipo hivyo mkuu.
 
Sasa kama kuna mfadhili shida iko wapi ndugu?lazma asonge mbele eti au hujamsikia mwaka aliposema anampenda mkewe ila hayuko tayari kuishi nae tena?kwahiyo mnadhani yule queen ni sister wa roman catholic adi asiolewe tena?
Jamaa atoe tu hiyo talaka mambo yeshe
Kiukweli hakuna shida ameamua kusaliti ndoa kufuata mfadhili. Nilikua najaribu kuweka nadharia kwamba jeuri ya kuondoka na kuacha kila kitu haiwezekani bila ya uwepo wa mtu anaemrubuni!
 
ukiitazama sura yake nagundua mama ana mambo mengi ameyapitia na yanamuumiza sana.. Dr. Mwaka amejivua nguo mwenyewe kwenye hili sakata..
Mkuu maono yako yanahitajika kule pm
 
Hao jamaa mindhali wamezaa hao ni ndugu,hivyo hatushauriwi kuingilia ugomvi wa wanandugu yao watayamaliza kwani hakuna linalokosa mwisho

Hakuna jambo lililokosa sababu ila kuwa na mashiko au kutokuwa inategemea na wewe unavyolipokea...huyo mama alitoa sababu za kuomba talaka,moja wapo akimtuhumu mumewe kutokumuhudumia kwa kipindi cha mwaka mzima,kwake yeye ni sababu tosha hivyo asibezwe.Mtuhumiwa hakujibu hilo na ni haki yake kukaa kimya ila tunamsemo kuwa kimya pia ni jibu la ndio

Mambo yao yalipokuwa matamu mume alikuwa anampeleka mke kwenye media na hata yalipochacha mume alionekana kwenye media akimjibu mke.....sasa inakuwaje ashambuliwe mke pekee kwa kukimbilia kwenye media ilhali ndo maisha aliyozoeshwa na mumewe

Wengine wanamlaumu mke kuwa mbinafsi kwa kufuata moyo wake unqpomuelekeza na jee jamaa alietekeleza familia kwa kipindi hicho wakati nafasi na uwezo wa kuwa na kuihudumia familia alikuwa nao nae tumuitaje
Hayo ni yao wana ndugu watayamaliza kikubwa tuwaombee wayamalize bila kuacha athari mbaya kwa vizazi vyao
 
Back
Top Bottom