Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Akishatoa talaka hakuna kurudi nyumba hapo moja kwa moja mahakamani na machungu atayapata Mwaka sio wapambe wa mtandaoni. Kwa utaratibu wa dini yao mwanamke anaweza kutoa talaka ila atawajika kurudisha mali na gharama zingine azopewa na mwanaume ikiwemo mahari. Ninachokiona hapa Mwaka na mkewe wanaviziana mke anataka Mwaka ndio atoe talaka akijua iyo itampa uhalali wa kudai mgao wake wa mali, Mume nae machale yamemcheza ndio maana kagoma kutoa iyo talaka. Ushauri kwa uyo dada kama kutoa talaka ni rahisi basi atoe yeye aache mali pamoja na kurudisha gharama zote alizohudumiwa ikiwemo mahari ili apate iyo amani ya moyo anayoitakaIli tuamini au tusiamini cha kwanza ampe kwanza baada ya hapo ndo tutajua nani mkweli nani muongo!
Ila nnachoona mwaka kila akikumbuka mabakuli ya supu na uji ambayo alisema queen alikua anamwasha nayo roho inamdunda sio kidogoš¤£š¤£