Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Jasho la mwanaume haliliwi bure sasa wewe kula vya watu alafu ujue ni bure bure tu siku ya kuliwa jicho usisumbue watu.Si kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jasho la mwanaume haliliwi bure sasa wewe kula vya watu alafu ujue ni bure bure tu siku ya kuliwa jicho usisumbue watu.Si kweli
Mbona keshasema anataka aondoke asichukue chochote. Af unaposema maswala ya stahiki, si amezaa nae? Si watoto atawaleaje.Shida ni kwamba navyoona hapa kwa sheria za Kiislam mwanamke ana uwezo pia wa kumwacha (kumpa talaka mwanaume) mwanaume but mke wa Mwaka hataki kumwacha Dr Mwaka kwa sababu anajua atapoteza stahiki zake ikiwa ni pamoja na mali wanazomiliki
Ikiwa ni kweli usemayo kuwa Juma amekubali kuishi na msaliti inahuzunisha.......ila sasa huyo msaliti kaona bora amuheshimishe bwana Juma ni kuomba talaka ili aendelee na mizagamuo huyo ya nje maana hawezi kuachia hiyo kazi mpya aliyoipata na anaendelea nayoMwaka ametaka mali?
Mwaka anatake msaliti aendelee kuwa kwenye himaya yake.
Mnamkandamiza mwanaume mwenzenu kwa kutishwa na machozi?
Wewe mke achepuke kirahisi akimbilie kuomba talaka?
Ninasimama na mwaka.
Siku Mwaka akifunua mdomo mtaaibika sana watetezi wa mwansmke huyu
Naona umehamisha magoliJasho la mwanaume haliliwi bure sasa wewe kula vya watu alafu ujue ni bure bure tu siku ya kuliwa jicho usisumbue watu.
Na hicho ndo kikichomponza......mabazazi nayo yalitaka kuthibitisha yale maneno....matokeo yake somo na chezo limeeleweka anakuja kuleta udwanzi wake......atoe karatasi watu wakawe wanaamshwa na hayo mabakuli na kusingwa juu kwa amaniIli tuamini au tusiamini cha kwanza ampe kwanza baada ya hapo ndo tutajua nani mkweli nani muongo!
Ila nnachoona mwaka kila akikumbuka mabakuli ya supu na uji ambayo alisema queen alikua anamwasha nayo roho inamdunda sio kidogo🤣🤣
Huko kwenye media alizoweshwa na huyo huyo tabibu.....Huyu Dada Nae Mpuuzi sana Mambo ya Ndoa Kila siku anakimbia na Mamidia sasa Media itakusaidia nn?? wakati Mwingine muachen ujinga..
Huyu Mwaka nae akiwambia mambo ya huyu dada pengine mkazimia kabisa....
Ingawa Mwaka alijifanya mwamba eti ooh Kama huna nguvu za kiume fanya hili fanya lile mm wake zangu nawapa haki bla bla kibao sasa kiko wapi leo mwanamke hakutaki muachee aende akaolewe shida nn?? unadhani mpaka ameamua kukuacha Hajapata mume??
Zao la nyegeDaah mmefika mbali...dini yao inaruhusu
Nyinyi banah uislam wa wapi huo?Ila utaratibu wa kiislam ni simple sana kwenye kuachana, kama mke hamtaki mume basi AJIVUE yaani GHLUUW kwa kurudisha mahali ya mume na basi wanakuwa wameachana.
I don’t understand why huyo mwanamke hajashauriwa hivyo mpaka sasa. Na huyo Dr Mwaka akubali kuachika ili maisha yaendelee. Huko ni kumdulumu huyo mwanamke na ataulizwa na ﷲ siku ya Qiyama.
Ila hakika si kila chozi la mwanamke ni la kuliamini
Kabla anatakiwa aombe talaka, akinyimwa ndo anapaswa ajivue na kwenye kujivua pia inapaswa mume atamke mahali yake anayotaka arudishiwe kwa muktadha huo ni wazi uwepo wao woote kwenye baraza unatakiwa ....sasa huyo tabibu siku zoote hukimbia hivyo vikaoShida ni kwamba navyoona hapa kwa sheria za Kiislam mwanamke ana uwezo pia wa kumwacha (kumpa talaka mwanaume) mwanaume but mke wa Mwaka hataki kumwacha Dr Mwaka kwa sababu anajua atapoteza stahiki zake ikiwa ni pamoja na mali wanazomiliki
Na ulivyotuambia kuwa uislamu unasema kuwa inatakiwa arudishe ulituambia km nani!!!!!punguza makasiriko.......unaruhusiwa kujifunza hivyo nenda kajifunze ila usilete upotoshajiNikuwekee aya wewe kama nani yaani nifanye kazi ya kusoma kitabu kizima ili nikuletee iyo aya? Mimi nakumbuka mtililiko wa nilichokisoma sifanyi kazi ya kukalili mistari ya kitabu kizima kama unataka aya nenda kamuulize kiongozi wako wa dini
Si mpaka uwe nazo? Sasa huna akudai nyeti zako? Hayo ya baadae mnaweza kuyawaza nyinyi msijua hesabu za maisha ya hawa viumbeWangapi wanawapa talaka wake zao na hatuoni wakiwapa hizo mali wala uhakika wa pa kuishi?
Ampe tu kwanza mengineo yatakuja badae huko
Kuna kitu unataka kusema but unasita; hebu funguka. Tena mwanamke unakimbia ndoa yako ya ujanani ukaolewe na mga ga wa mitishamba! Hatari sana.Ila hizi ndoa za mmoja kubadiri dini au Mtu alikuwa na ndoa yake ya kikiristo akamkimbia mume WA ujana wake na kubadiri dini na kuwa muislam Leo anatesekea dini na ndoa hakika Mungu yupo ...
Iwe zawadi au takataka gani sijui as long as hakuitolea jasho basi hana share yakeNa ulivyotuambia kuwa uislamu unasema kuwa inatakiwa arudishe ulituambia km nani!!!!!punguza makasiriko.......unaruhusiwa kujifunza hivyo nenda kajifunze ila usilete upotoshaji
Mahali ni malipo waliyokubaliana kabla ya ndoa na mali (nyumba,vidani,mikufu na vinginevyo)ni zawadi......ikiwa nyumba ndo ilikuwa mahali basi ni stahiki kuirudisha ila km ilikuwa ni zawadi si stahiki kuirudisha labda kuwe na mapatano yao mengine ambayo hatuyajui
Mh; wadau wamehoji humu kama bidada yuko kweli serious na hataki chochote kutoka kwa Mwaka, atie yeye (bidada) talaka. Hii ina maana kubwa sana kisheria kutoa au kupewa yeye! It's a complicated matter kuliko inavyoweza kuchukuliwa kirahisi.Nikisoma comment za watu humu jf nagundua kila siku kwamba kuna baadhi ya wanaume ni very weak. Nahisi hata neno weak halitoshi! Very pathetic.
Sasa kama mwanamke ndo anataka mwaka amuache tena anataka aondoke peke yake asichukue chochote unasemaje mwanamke ni msanii? Huwa mnaona upande wa mwanamke ndo wenye tatizo siku zote.
Mnaosema kataa ndoa mngeanza kwanza kukataza ndoa za mitala sijui wake wanne ni ushenzi tu! Kama huwezi kumudu wanawake hata wawili basi usijifanye unafatisha dini kumbe unataka kufanya unyanyasaji tu.
Ona wapuuzi watakavyokuja na povu. I hate misogynists na sichoki kuvurugana na nyie ili kutetea haki ya mwanamke anaeonewa. Dr mwaka si umuache huyo mama unamkomalia ili umuue au?
Tatizo sio kuacha; aftermath ya kuacha ndipo shida ilipo.Si ana mke mwingine jamani? Huyo amuache. Unless kuna ambacho hatuambiwi katika saga lote hili.
Mshenzi kweli kama anafanya hivyo! Sio dini wala sheria au tamaduni zinaruhusu hilo. Hayo yanafanywa na wacheza ngono.Hv huyo jamaa ndo huwa ana wake 3 analala nao bed 1 eeh?
Wew unamtetea tu mwanamke mwenzio hujalipima kwa kuanagalia pande mbili za shilingiHii inaonesha kati ya wanawake wote aliokuwa nao huyu ndio wa moyoni yaani anampenda kuliko yule aliye lala nae jana😬
Kwahiyo we kwenye mgawanyo wa mali unaumia yule mama akipata chochote kitu. Abebe wanae akahangaike nao mbele ya safari si ndio? Sawa, na kwanini huwa hamtaki wanawake wajishughulishe kwa kusema kwamba mtawatunza?Mh; wadau wamehoji humu kama bidada yuko kweli serious na hataki chochote kutoka kwa Mwaka, atie yeye (bidada) talaka. Hii ina maana kubwa sana kisheria kutoa au kupewa yeye! It's a complicated matter kuliko inavyoweza kuchukuliwa kirahisi.
Sio mimi bali mwanamke ndiye anayesema hataki chochote toka kwa Mwaka zaidi ya talaka!Kwahiyo we kwenye mgawanyo wa mali unaumia yule mama akipata chochote kitu. Abebe wanae akahangaike nao mbele ya safari si ndio? Sawa, na kwanini huwa hamtaki wanawake wajishughulishe kwa kusema kwamba mtawatunza?
Wanaume huwa mnajielewa kweli?
Shekhe ndo alikua anakula mzigo nini?Hatuambiwi mengi.
Hawa ni wanandoa kufikia hapa ujue kuna moto.
Kumbuka sakata hili limechangia kumng'a shekhe mkuu wa mkoa wa Dar