Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Hapa ndipo napoona wanawake kweli hawajitambui,unatumika kama chombo cha kustarehesha,huku ukitoka nje unadai haki sawa NA wengine wapo wanaona wanavyodhalilishwa lakini wamekaa kimya...
rafiki kwanini isiwe mwanaume ndio katumika kama chombo cha starehe??,kumbuka hapo wanawake wapo wawili na mwanaume ni mmoja,kwa akili ya haraka unadhani ni yupi anayeumia wakati wa tendo??.

globalization ndio imeleta haya mambo ya sijui chombo cha starehe na haki sawa,ila huko tulikotokea mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida mno.

kiasili viumbe vyote vya jinsia ya kike waliumbwa wengi kuliko jinsia ya kiume.

maana yake ni kwamba mwanaume amtawale wa kike.

hvyo hata kwa doctor hapo ni yupo sahihi kabisa wala si wa kulaumiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hao wanawake ni wake zake..

Kama wote hao wake zake hawana tatizo kulala naye kitandani wakiwa pamoja..

Nyie wengine tatizo lenu ni nini hasa?

Labda ninaloweza kumkosoa ni yeye kuongelea mambo ya chumbani kwake redioni.

Zaidi ya hapo, sina tatizo na yeyote yule alalaye kitandani mwake madhali si mtoto dogo au mtu aliyelazimishwa kulala naye.
👏👏👏
 
Back
Top Bottom