Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Lakini piaa baadhi ya wanao host vipindi hawajui ni maswali gani ya msingi kuuliza anapokua anatoa interview kwa watu wa makundi tofauti kulingana na taaluma zao

Ivo tasnia ya habari imekua ikifikiri udaku tu ndo utaweka umaarufu kwenye vipindi vyao badala ya kujua future ya tradition medicine kutoka kwa dr mwaka

Inasikitisha sana

Kuhoji ni special skill ambayo clearly wana habari wengi wa kibongo hawana, ni wachache sana wanaoweza hili.
 
Nasikiliza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwaka sio Daktari, ni mjinga anayewadanganya wajinga wenzake kupata fedha, watu kama hawa ni kuwafungia maisha. Dr. Kigwangala alimfungia sijui iliishia wapi. Huyu anacheza na afya za watu, tapeli hatari kabisa

Nasikiliza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Corrections: Witch Doctor aka Herbalist siyo dicta wa Hospital. Wateja zake wamama na wadada
 
Mbona hakuna pahala aliposema kama kafanya nao mapenzi kwa wakati mmoja tuwe waelewa kuna tofaut kati ya kulala na kufanya mapenzi Shadeeya mis u kipe 😘😘😘
Nawaza tu wanavyopendana kiasi hicho hao wake je na yeye wanampenda hivyo hivyo?

Nipo Kipenzi jana nililala mida ile nakuja amka ndio nakuta jumbe zako Mdogo. 😍😍😍

Umewaona wake wa Dr lakini?
 
Nasikiliza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika tunapenda sana,zinaa
 
Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo.

Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana.

Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu kulala na wake zake chumba kimoja, jibu Lake ni kuwa wake zake wawili (isipokuwa wa kwanza) analala nao ila Kuhusu kushiriki tendo kwa pamoja hajakataa ila amesema ni mambo ya ndani.

Sasa huyu chalii ndio anamaanisha wanashiriki "threesome" na wake zake sio.
Ukiwa na hela raha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli tu huyu. Nashangaa kapona baada ya kusakamwa na wizara ya afya..
 
Kama hao wanawake ni wake zake..

Kama wote hao wake zake hawana tatizo kulala naye kitandani wakiwa pamoja..

Nyie wengine tatizo lenu ni nini hasa?

Labda ninaloweza kumkosoa ni yeye kuongelea mambo ya chumbani kwake redioni.

Zaidi ya hapo, sina tatizo na yeyote yule alalaye kitandani mwake madhali si mtoto dogo au mtu aliyelazimishwa kulala naye.
unaogea pumba mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom