Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Hapa ndipo napoona wanawake kweli hawajitambui,unatumika kama chombo cha kustarehesha,huku ukitoka nje unadai haki sawa NA wengine wapo wanaona wanavyodhalilishwa lakini wamekaa kimya...
rafiki kwanini isiwe mwanaume ndio katumika kama chombo cha starehe??,kumbuka hapo wanawake wapo wawili na mwanaume ni mmoja,kwa akili ya haraka unadhani ni yupi anayeumia wakati wa tendo??.

globalization ndio imeleta haya mambo ya sijui chombo cha starehe na haki sawa,ila huko tulikotokea mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida mno.

kiasili viumbe vyote vya jinsia ya kike waliumbwa wengi kuliko jinsia ya kiume.

maana yake ni kwamba mwanaume amtawale wa kike.

hvyo hata kwa doctor hapo ni yupo sahihi kabisa wala si wa kulaumiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…