Itakuwa bado.Miaka 59 angefikisha 26 March 2022. Wewe ukizaliwa tarehe 31 March 2000 ikifika tarehe 10 February 2001 utasema una umri gani? Utakuwa umeshafikisha mwaka 1?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa bado.Miaka 59 angefikisha 26 March 2022. Wewe ukizaliwa tarehe 31 March 2000 ikifika tarehe 10 February 2001 utasema una umri gani? Utakuwa umeshafikisha mwaka 1?
Henoko na Eliya wao hawakuonja mauti japo walizaliwa na wanawakeAlale anapostahili!
Tusifurahie vifo vya watu maana hatujui ni lini na sisi tutakwenda...
Kifo ni adhabuR.I.P.
Hata mtu awe mwema ama mbaya lazima afe. Mara tu unapozaliwa unaanza kukielekea kifo...Kifo si adhabu, ni timizo la maandiko. Unatoka mavumbini, unarudi mavumbini....
Kwa hiyo nitakuwa sahihi kuwa Marehemu Dr. Mwele Malecela alifariki akiwa na miaka 58 na miezi 11? To be precise hakuwahi kufikisha miaka 59? (In Kibatala's voice)Itakuwa bado.