chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
sikutaka kueleza kiundani,kwa nn alitumwa kule ,nn kilimkuta akiwa live na idd Amin,alikaa siku 5 akiwa bado huko Uganda .ni stor ndefu ,nimefupisha tu mkuu.kwenda kwa hasimu wako ambae mmekamiana kivita ,na ukamfanya adui akufurahie na kukupokea na kukuzungusha mjini mkiwa wawil tu na walinzi wachache ,halafu akushushe hadharani na kukukubali mbele ya raia wake,sio kitu kidogo. unaambiwa Amin alipokuwa na malecela ikulu kwake ,alimuimba watoke yy na malecela tu,John alijua jamaa anakwenda kumaliza kazi,Amin aliwasha gari ikagoma kuwaka,akachukua ya pil ikagoma pia ,hapo John alishukuru izmegoma,lkn ghafra mlinzi akasogeza nyingine ikakubali kuwaka wakaondoka .Kwahiyo kurud salama ndio akawa jasus mbobezi?? Wabongo wakikupenda aisee vyeo vyote watakupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]