TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

1,2 na 6 ndio wameshatangulia, sio?

Pamoja na Le Mutuz, Mzee Malecela alikuwa na watoto 7 tu ama kuna wengine?
Mimi nilimfahamu Marehemu kwenye kampeni za mabusha, lakini pia nilisoma na Marehemu Ippy shule moja, Pia kuna mahali nilikuwa naishi nyumba ya jirani kulikuwa na mdada anaishi na Mama yake, Yule mdada nilikuja kuambiwa ni mtoto wa Mzee Malecela, wala sikubisha, umbo na sura ni kama Mzee mwenyewe, Bahati nzuri yule Mama naye aliwahi kunisimulia ilikuwaje wakakutana na Mzee.
 
Please respect the right to privacy za watu!.
P
 
Alikuwa anaitwa Senyagwa, siyo Senyangwa! Alifariki 1984 Mbuyuni karibu na St Peters akiwa anaendesha Benzi la baba yake akitokea alfajiri kwenye disco. Baba yake alikuwa safarini kikazi Uingereza alikotumwa na Mwalimu, yeye nyuma yake akachukua funguo za benzi ya baba yake kutoka kwa mama yake na kwenda night club, nadhani wakati akirudi alfajiri alizidiwa na usingizi na ndipo aka-crash kwenye lori na kufariki hapo hapo.
1984 umenikumbusha disco la marehemu Kalikali pale YMCA, marehemu Mama ananipa shilingi tano ya kununua soda nikiwa ukumbini.

Saa moja usiku ninakuwa nimesharudi nyumbani, enzi hizo hupitii gymkhana kurudi nyumbani unapitia Posta mpya kuja kutokea pale mbele ya Pamba House unakwenda mpaka home.
 
Dr mwele ametangulia kwa Mungu ila amemuacha baba ake hapa duniani .Wanasema usiombe mzazi azike mtoto .Mzee malecela alikuwa na Mtoto wake Dr mwele mpaka alipofariki .Mungu akiamua ameamua .Amen
Pole mzee Malecela. Ila huyu mzee alimmaindigi Lowasa akiwa kijana baada ya kumuibia kwenye deal walifanya kadhia iyo akaiweka moyoni hadi kijana wake naye lemutuz alikuwa nayo chuki kwa Lowasa.

Lowasa alipokuwa anataka kuwa rais kwa udi na mzee John aliiapa atapigana Don asichukue nchi.

July 2015 alikatisha kabisa matibabu yake nje faster nakurudi Bongo alipofika JNIA akaonganisha faster Dodoma eti alichodai kwenda kuongeza nguvu Lowasa kukatwa na kuchinjiwa baharini. Hakuna mtu Tanzania aliyfurahi Lowasa kukatwa jina lake july 2015 kama mzee

Simulizi kutoka vijiwe vya umbea vya wanavitengo waliostaaf

R.IP Mwele
 
Paschal Mayalla kumbe uchaggani ni ujombani

Sasa kwa wachagga wana mila kama ya israeli kwao hata mtoto wa dada ni mchagga

Inter marriage imesaidia sana nchi hii mfamo wa Esther alivyosaidia wana Israeli

unaweza kuongea na mtu kuteta kabila fulani kumbe mama yake anatoka huko
 
pole zimuendee huyu mkongwe na gwiji la siasa hapa nchini,ni jasusi mbobezi haswa ,membe hatii mguu. kabla ya Vita kuanza ,vuguvugu lilikuwa ndo limewaka Moto,idd Amin alimpaga Salam mwal.kuwa atamchapa risasi live , kiongozi yeyote wa tz atakayejipendekeza kupeleka pua yake Uganda,Sasa bana mwal. akamtumaga mzee malecela aende Uganda kwa Amin ,ajaribu kuongea na Amin aache chokochoko,mzee John alienda ,na kurudi salama.
 
Kwahiyo kurud salama ndio akawa jasus mbobezi?? Wabongo wakikupenda aisee vyeo vyote watakupa 😂😂😂😂😂
 
Dr mwele ametangulia kwa Mungu ila amemuacha baba ake hapa duniani .Wanasema usiombe mzazi azike mtoto .Mzee malecela alikuwa na Mtoto wake Dr mwele mpaka alipofariki .Mungu akiamua ameamua .Amen

Mwele alikuwa ni mwajiriwa, amefariki akiwa katika kituo chake cha kazi!! Hapo mwajiri ndiye anawajibika kusafirisha na gharama za maziko. Raha ya kuajiriwa
 
Pole mzee Malecela. Ila huyu mzee alimmaindigi Lowasa akiwa kijana baada ya kumuibia kwenye deal walifanya kadhia iyo akaiweka moyoni hadi kijana wake naye lemutuz alikuwa nayo chuki kwa Lowasa.

Lowasa alipokuwa anataka kuwa rais kwa udi na mzee John aliiapa atapigana Don asichukue nchi.

July 2015 alikatisha kabisa matibabu yake nje faster nakurudi Bongo alipofika JNIA akaonganisha faster Dodoma eti alichodai kwenda kuongeza nguvu Lowasa kukatwa na kuchinjiwa baharini. Hakuna mtu Tanzania aliyfurahi Lowasa kukatwa jina lake july 2015 kama mzee

Simulizi kutoka vijiwe vya umbea vya wanavitengo waliostaaf

R.IP Mwele
Watu wa Kaskazini wakishakutana na makabila ambayo kidogo yanaushamba lazima wawapige mkifanya deal pamoja.
 
Back
Top Bottom