Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Sasa unataka tuyape kipaumbele wakati hayapo Ni ya kutunga tu ili watu wajipigie hela. Mfano zika ambayo haijawi kuwepo Tanzania lakini ikalazimishwa itangazwe hivyohivyo ili watu wapige hela mwamba akashtukia.Salamu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Naomba kutoa pole nyingi kwa familia ya Dr Mwele Malecela,madaktari wa Afya ya Jamii,umoja wa madaktari wanawake Tanzania na mikoa iliyoathirika kwa magonjwa yasiyopewa kipaumbele.
Kuna mikoa ilisifika sana kwa mabusha mfano Tanga,Dar na Pwani lakini kwa sasa sifa hiyo imeondoka...
Haijaondoka hivi hivi bali kwa juhudi za wanafamilia wa afya ya jamii wakiongozwa na Dr Mwele Malecela na kampeni yake kubwa ya kutokomeza matende na mabusha.
Hili pekee kwangu linatosha kumpa heshima ya kipekee Dr Mwele Malecela nchini Tanzania na katika viunga vya dunia ikiwemo shirika la Afya duniani.
RiP Dr Mwele Malecela....Wakazi wa Uzunguni Arusha Tutakumiss!
Kwanza kimsingi magonjwa hayapaswi kugongewa debe mana ni disaster na hivyo tunayaombea yasiwepo kabisa.
Ni sawa baadhi ya makanisa eti wanafanya advertisement wakati ile Ni service tu mtu anapaswa aende yeye mwenyewe siyo atafutiwe matatizo wakati yeye hayaoni.