Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Mimi nilimfahamu Marehemu kwenye kampeni za mabusha, lakini pia nilisoma na Marehemu Ippy shule moja, Pia kuna mahali nilikuwa naishi nyumba ya jirani kulikuwa na mdada anaishi na Mama yake, Yule mdada nilikuja kuambiwa ni mtoto wa Mzee Malecela, wala sikubisha, umbo na sura ni kama Mzee mwenyewe, Bahati nzuri yule Mama naye aliwahi kunisimulia ilikuwaje wakakutana na Mzee.1,2 na 6 ndio wameshatangulia, sio?
Pamoja na Le Mutuz, Mzee Malecela alikuwa na watoto 7 tu ama kuna wengine?